4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hakuna kurudi Mpaka pale ,chadema tutasema njoo,Ni jambo jema!
Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kurudi Mpaka pale ,chadema tutasema njoo,Ni jambo jema!
Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
Kila kitabu na zama zake. Hizi ni zama nyingine lazima tukubali.Kweli mambo yamebadilika. Ila JPM atakuwa anateseka sana huko kaburini.
Usipotoshe. Wa kushukuru ni MUNGU na sio huyo kiumbeUnapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia
Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P
Kuna nyingine ya kumkashifu mwendazake kama sikosei! Alikuwa na kesi mbiliNaomba kuuliza ,TL hana kesi yoyote tena inayomkabili?
MSAADA WA ELIMU YA SHERIACriminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru...
Hii nadhani umekosea mkuu, ilipaswa kuwa uzi unaojitegemea kwa sababu hauhusiano na chochote kilichoandikwa hapa!Bwana Yesu Kristo alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
Hii ni hakika na kweli kabisa kabis...
Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru....
Bila shaka wanasheria watakuja kutudadavulia, ninachoelewa ni kwamba zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya DPP kuamua kufuta kesi ikiwa ni pamoja na ushahidi uliopo, akiona hii kesi serikali itashindwa mahakamani.MSAADA WA ELIMU YA SHERIA
Nini maana ya kitu kama hiki? Inamaanisha mlalamikaji ana ushahidi wa kutosha kuwa watuhumiwa wametenda jambo husika lakini kwa sababu zake binafsi ameona hana haja ya kuendelea na kesi au katika majadiliano imedhihirika tuhuma si za kweli na hivyo mlalamikaji kaona yaishe?...
Very cold reply!Watafuta kesi nyingi sana maana zilifunguliwa kumfurahisha Mwendakuzimu bila kuzingatia vigezo muhimu.
Pia hakukua na jinai wala misingi muhimu. Kifo cha Magufuli ni neema kwa taifa.
Boya yule alifikiri nchi ni mali yake. Hata mke wake amenawiri baada ya kifo chake maana yake alimchosha mwanamke na vitasa.
Nikuulize wewe unayejua kamzindika naniAmemzindika mamako
USSR
Asante.Kama hivi ndivyo. InaudhiBila shaka wanasheria watakuja kutudadavulia, ninachoelewa ni kwamba zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya DPP kuamua kufuta kesi ikiwa ni pamoja na ushahidi uliopo, akiona hii kesi serikali itashindwa mahakamani, busara ni kuifuta ili kupunguza idadi ya kesi serikali inazoshindwa ambayo inaweza kutafsiriwa kuwa serikali inawabambikia watu kesi zisizo na ushahidi! Lakini pia, kwa busara yake kwa kuzingatia mambo fulanifulani, ikiwemo taswira ya serikali, DPP ana mamlaka ya kufuta kesi na asieleze sababu!
Hii kali sana aisee!Yule marehemu alikuwa mtu wa hovyo sana.
Jiwe sijui alibemendwa maana sio kwa liroho lile