johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akafe mbele hukoDPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Source ITV habari!
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Source ITV habari!
Hiki kimtu kifupi kama mavi ya mwisho kinajjona kimeyapatia sana maisha. Kinakubali kutumika na Jiwe, iko siku Jiwe atatoka madarakani na watajuta sanaDPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Source ITV habari!
Mbona lugola pamoja Na kuhujumu uchumi hakuna kinachoendelea?lema asiposhtakiwa na mimi naanza kuizushia uongo serikari