share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake. Alikuwa hakumuelejeza vizuri Hakimu Simba kwenye kuandika hukumu hiyo ambayo iliamuriwa na Dola?!? Wampe sasa promotion waliomuahidia ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Mengine yote ni ngonjera. Peoples' Power imefanya kazi yake. Wote waliopanga kuwafunga wananchi wamewarudisha uraiani kwa mchango wa jero jero na buku buku. Aibu kwenu fisiemu butu.
Chanzo: ITV habari!
Aache upumbavu.