DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

Ya Zitto, spika alimuomba mwanasheria mkuu wa serikali kuangalia kama kuna jinai, sasa na huyu atakuwa amepokea maagizo (kinyume na katiba) kuangalia namna nyingine ya kisheria kuwaangamiza wapinzani.
 
Mimi ni mwana CCM lakini hapo ndipo Afrika tunapokwama. Hii kesi toka mwanzo ilikuwa ni kupoteza muda na rasilimali. Kuna mambo ya msingi ambayo hatuyashughulikii, lakini tunahangaika na vitu vidogo sana visivyoleta tija.
 
mjinga kweli kweli huyo Rais kamlipia faini msigwa yeye hana ujanja huo
 
Dpp mwanasiasa? Ulishawahi kuwasikia watangulizi wake wakiropoka?
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.

DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.

Chanzo: ITV habari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka na uwe ndio wa mwisho kutawaliwa na wasukuma wametutesa sana hawa watu ni kosa letu kutokumsikiliza mwalimu Nyerere alionya tusiwape utawala haya makabila makubwa watabebana wao kwa wao na kuwanyanyasa wengine tumeyashuhudia
 
Wanachama wenu wako wapi? Nguvu ya uma iko wapi?
Chadema pesa yte anakula mbowe.
Masanjaone, uhuru wa mawazo unatoka kwa Mungu. Haueletwi na binadamu yeyote hapa duniani.
Jambo la pili unalotakiwa kujua ni kwamba kilichotoka kwa Mungu, binadamu hawezi kukizuia, awe Mbowe (unayemsema kuwa anakula pesa zote za Chadema), au Magufuli, (aliyegeuza mapato yote ya nchi kuwa pesa zake za mfukoni na kuzitumia atakavyo, kwa kufanya mazuri na mabaya).
Jambo la tatu, pamoja na wewe kujiita Masanjaone, na mimi kujiita fundimchundo, sisi ni wamoja. Haiwezekani mimi na wewe tuwe maadui, eti kwa sababu wewe ni kabila moja na yeye, na mimi ni kabila tofauti.
Utofauti wetu unatakiwa uwe msingi wa kuiimarisha Tanzania, na huo ndio uzalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom