Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mchawi ni mchawi tu. Hataacha kuloga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo si maiti tena.Maiti imepiga chafya wanaanza kuweweseka
Wasukuma wamejimilikisha nchi yetu na roho zao mbaya za kichawi. Ikulu, dpp, ag.... ni wao tu
Ni walewale wote wanaongea kisukuma.Let facts speak for themselves.... Rais Msumbwa, DPP mkara, AG Msukuma.
Tusi fabricate kila kitu.
Wanawake wa kisukuma wako safi ila wanaume.......Samahani mkuuu km umekaa na wasukuma wala usingehangaika hata kuandika haya ...sisi wasukuma ni watu safi sana ila kuna watu wanataka tuonekane sisi ni jamiii ya watu wapuuzi ila hawatafanikiwa ...karibu Mwanza tule sangala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Chadema ni wakongomani? Nyie CCM vipi mmachnaganyikiwa au
Taifa la wajingaDPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Chanzo: ITV habari!
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Chanzo: ITV habari!
MPE la gigiHuyu naye si atulize papa anawashwa nini?
Aliishi usukumani
Akifanya hivyo atamuathiri na Mashinji.
Wanachama wenu wako wapi? Nguvu ya uma iko wapi?
Chadema pesa yte anakula mbowe.
Masanjaone, uhuru wa mawazo unatoka kwa Mungu. Haueletwi na binadamu yeyote hapa duniani.Wanachama wenu wako wapi? Nguvu ya uma iko wapi?
Chadema pesa yte anakula mbowe.