DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

Wasukuma wamejimilikisha nchi yetu na roho zao mbaya za kichawi. Ikulu, dpp, ag.... ni wao tu
DPP Biswalo siyo Msukuma.Yeye ni Mjita,kabila linalopatikana wilayani Bunda na Musoma.Mjita mwingine mpuuzi mpuuzi ni Cyprian Musiba.

Huyo AG naye siyo Msukuma. Yeye ni Mkurya kutoka Tarime,Mara.
 
Nimemfuatilia kwa makini huyu DPP kwa kifupi ni mtu wa hovyo sana, dharau, kujimwambafai, ana vijimelea 90% vya uccm.
 
serikali haiwezi kukata rufaa hukumu, serikali imeshinda kesi, inakataje rufaa hukumu?
 
DPP Biswalo siyo Msukuma.Yeye ni Mjita,kabila linalopatikana wilayani Bunda na Musoma.Mjita mwingine mpuuzi mpuuzi ni Cyprian Musiba.

Huyo AG naye siyo Msukuma. Yeye ni Mkurya kutoka Tarime,Mara.
Thus ana akili kama msiba badala ya kubuni njia ya kupunguza mahabusu jela yeye anataka wajae.Au amespecilized kuwafunga wapinzani tu sijawaona mccm yeyeto amemfunga
 
Nimemfuatilia kwa makini huyu DPP kwa kifupi ni mtu wa hovyo sana, dharau, kujimwambafai, ana vijimelea 90% vya uccm.
Halafu anasema eti hana chama wakati ana viashiria vya chama Fulani kama msajili vile
 
Hawa madikteta badala yabkupambana na corona tishio la uchumi wanawaza kupambana na chadema.
 
Hakuna shida hata wakifungwa tena c raisi wetu mwenye huruma yuko atawatoa tu akina msigwa
 
Kama kiswahili walichoongea wabongo hajakielewa basi safari hii tutanena kwa lugha, YE AONGEZE TU HIZO FIGISU!
 
Hivi ikitokea kila upande umekata rufaa kwa hoja tofauti usikilizwaji wake unakuwaje?
 
HUYU ANACHUKI BINAFSI NA WAPINZANI.

KAMA MAHAKAMA IMESHATOA HUKUMU, KINACHOMWANGAISHA NI NINI? AU ALITAKA WAHUKUMIWE KIFO NDO ARIDHIKE?
 
HUYU ANACHUKI BINAFSI NA WAPINZANI.

KAMA MAHAKAMA IMESHATOA HUKUMU, KINACHOMWANGAISHA NI NINI? AU ALITAKA WAHUKUMIWE KIFO NDO ARIDHIKE?
DPP ana PhD ya kupambana na upinzani aanzishe chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…