Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Nimemfuatilia kwa makini huyu DPP kwa kifupi ni mtu wa hovyo sana, dharau, kujimwambafai, ana vijimelea 90% vya uccm.
kwa muda sasa nimekuwa nikimwangalia huyu DPP usoni anavyoongea na pia body language yake ilivyo and nimefikia conclusion moja.... am convinced he's a psychiatric case!DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Chanzo: ITV habari!
Pia soma > Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Chanzo: ITV habari!
Pia soma > Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
anza na waziri wa mambo ya ndani aliyefulushwa naona kimyaDPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.
DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.
Chanzo: ITV habari!
Pia soma > Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
ahahahaha utashangaa kichaa mmoja akiibuka kutoka kwenye msitu wakijani kupeleka mswada bungeni kwa hati ya dharura kupinga na kutungiwa sheria hii habari ya michango
DPP anasafiri sana bwashee!Hivi hawa Viongozi wetu huwa wanawapeleka Nje kupata exposure kidogo na kujua Dunia inaendaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
MsukumaHivi huyu DPP Ni kabila gani? Kama Ni mpare haijapata kutokea.muda wote anawaza kupambana Na upinzani....kesi ya kina lugola haieleweki lini inafunguliwa...
Ni mnufaika wa udhalimu, wakishakuwa nje ya systems ndio akili zinawarudiaHuyu kweli ni MGANGA Tena wa chienyeji......!
Huyu ndiye aliyekata Rufaa dhidi ya Ushindi wa Hukumu ya Wapinzani Kuzuia WAKURUGENZI KUSIMAMIA UCHAGUZI....!!
Ile exposure ya Jk ilikuwa na faida kubwa sana tulikuwa atusikii takataka kama hiviHivi hawa Viongozi wetu huwa wanawapeleka Nje kupata exposure kidogo na kujua Dunia inaendaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ana chapa hawezi mgusaanza na waziri wa mambo ya ndani aliyefulushwa naona kimya
Ukiwa msaidizi wa mchawi utaachaje kuwanga sasa!Mchawi sio mpaka uruke usiku.
Sijajua kwa nini baada JPM kuwa Rais wateuliwa wake hawajali taaluma! Badala yake wanakuwa majasiri wa ukatili, fitina, visasi, na kukosa ubinadamu kwa wafuasi wa Vyama vya upinzani.
Kwa mapambio ya kusifu aliyokuwa anayaimba Lugola! Sizani kuwa atakuja afunguliwe Kesi yoyote wakati wa utawala wa JPM.Hivi huyu DPP Ni kabila gani? Kama Ni mpare haijapata kutokea.muda wote anawaza kupambana Na upinzani....kesi ya kina lugola haieleweki lini inafunguliwa...
Huyo DPP amekoswa kazi. Kwa nini hjamshtaki Bashite kwa kuvamia Clouds au kuwashtaki wale waliompiga risasi Tundu Lissu?
Ukweli ni kwamba kwa sasa kila mtanzania anajua Mhimili Mmoja umejipa haki ya kutoa maelekezo, hivyo ningewashauri CHADEMA wasithubutu kuthubutu kukata Rufaa kwani maagizo yatakayotolewa yatakuwa ya kuinufaisha CCM.Plan A imeshindwa sasa anafikiria plan B. Hapo ndipo mtakapo aibika zaidi kaeni kimya kwasababu mtu wa kwanza kuaibika katika hukumu hii amekuwa rais aliyejidai kulipa fine.