DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

Nimemfuatilia kwa makini huyu DPP kwa kifupi ni mtu wa hovyo sana, dharau, kujimwambafai, ana vijimelea 90% vya uccm.

Huyu kweli ni MGANGA Tena wa chienyeji......!
Huyu ndiye aliyekata Rufaa dhidi ya Ushindi wa Hukumu ya Wapinzani Kuzuia WAKURUGENZI KUSIMAMIA UCHAGUZI....!!
 
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.

DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.

Chanzo: ITV habari!

Pia soma > Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
kwa muda sasa nimekuwa nikimwangalia huyu DPP usoni anavyoongea na pia body language yake ilivyo and nimefikia conclusion moja.... am convinced he's a psychiatric case!
 
Plan A imeshindwa sasa anafikiria plan B. Hapo ndipo mtakapo aibika zaidi kaeni kimya kwasababu mtu wa kwanza kuaibika katika hukumu hii amekuwa rais aliyejidai kulipa fine.
 
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.

DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.

Chanzo: ITV habari!

Pia soma > Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
DPP Biswalo amesema amepokea nia ya CHADEMA ya kukata rufaa lakini hata yeye bado anaitafakari hukumu hiyo na isipomridhisha atakata rufaa.

DPP amesema kisheria muda bado upo wa yeye kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo ya Mbowe na wenzake.

Chanzo: ITV habari!

Pia soma > Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea
anza na waziri wa mambo ya ndani aliyefulushwa naona kimya
 
Kuna watu ukiwaona au ukiwasikia basi huna haja ya kumuona Wala kumsikia Shetwani maana huwa wamemzidi kwa uovu. Miongoni mwao ni hiyo takataka
 
Jamaa Ni mjita na Lugola pia Ni mjita,hapa Kuna kitu anafikiria kumfungalia mashitaka mjita mwenzie.
Huwenda akawa mkabila huyu,ngoja tuone kwa mjita mwenzie,ila kuwaza kukata rufaa nahisi anataka kuwapumbaZa CDM wao wasiende ili wasubiri rufaa ya DPP,au kutokana na mataifa ya nje kuja juu kuhusu hiyo hukumu huwenda ikawa plan ili wakate rufaa na CDM ipewe ushindi na kurudi Hawa pesa zao.
Hayo Ni mawazo yangu
 
Hivi huyu DPP Ni kabila gani? Kama Ni mpare haijapata kutokea.muda wote anawaza kupambana Na upinzani....kesi ya kina lugola haieleweki lini inafunguliwa...
Kwa mapambio ya kusifu aliyokuwa anayaimba Lugola! Sizani kuwa atakuja afunguliwe Kesi yoyote wakati wa utawala wa JPM.
 
Plan A imeshindwa sasa anafikiria plan B. Hapo ndipo mtakapo aibika zaidi kaeni kimya kwasababu mtu wa kwanza kuaibika katika hukumu hii amekuwa rais aliyejidai kulipa fine.
Ukweli ni kwamba kwa sasa kila mtanzania anajua Mhimili Mmoja umejipa haki ya kutoa maelekezo, hivyo ningewashauri CHADEMA wasithubutu kuthubutu kukata Rufaa kwani maagizo yatakayotolewa yatakuwa ya kuinufaisha CCM.
 
Back
Top Bottom