DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

Tanzania hakuna kisicho wezekana, yule jamaa amtafute mzee mmoja mtaalamu wa mambo ya kiswahili wamtengeneze yule mwanamke mwenye roho kama shetani ili iwe fundisho kwa wengine
 

Serikali ya upendeleo.
 
Hata sielewi huyu mtu ana maana gani. Yaani hizi ndo teuzi ,inazofanywa kizembe hadi nchi inaangukia mikononi mwa wsomi uchwara.
Soma sheria acha janja janja. Kama we siyo mwanasheria ni ngumu kuelewa. Kama.unataka kuelewa soma angalau diploma ya sheria. Unajua kangaroo court?
 
Tanzania viongozi wanafanya watakavyo kwa sababu ya uswaza wa sisi raia. Washenzi kama hawa hawana tofauti na vibaka na wanatakiwa kushughulikiwa kama vibaka.
Usihamaki. Watoto wa Palestine unawaona wanapigania nchi yao? Wewe jitu zima na midevu kibao unalalamika humu
 
Hii nchi tuna shida kubwa sana na vyombo vya kutoa haki.
Kuna mtu kafungwa miaka kibao ati ana hubiri dini bila leseni. Hapo DPP kaona kuna kesi.
Kijana kafanyiwa uhuni wa ajabu DPP haoni jinai. This is rubbish.
 
Hapana, nani mwenye kosa hapo Hadi akimbilie kufuta kesi. Ni kweli polisi hawajui utaratibu wa kesi ya jinai kuwa kesi inapaswa kusajiliwa? Je mahakama haijui kwamba kesi inapaswa kusajiliwa? Je , kwanini kesi ilianza kusikilizwa kabla ya kusajiliwa? Je hii ni kesi ya kwanza kutajwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika?Je polisi na mahakama wanaweza fanya uzembe kama huo kweli? Kama ni ndiyo taifa hili linaongozwa na wajinga? Je, kijana yule aliyefanyiwa ukatili hizi taratibu anazijua? Kama gekul alitumbuliwa, je ni kosa gan alifanya Hadi kutumbuliwa?Je Rais alikurupuka? Umemtia aibu hapa.
Wewe DPP una dhambi na mungu atakuchoma moto mkali pale siku zako zikifika. Unatumia vibaya mamlaka ya kikatiba ya kufuta kesi. Kama kulikuwa na mapungufu ulipaswa pia kuelimisha na si kufuta. Aibu yako na ufe
 
Ukiwa na Pesa ni kama unamiliki isuzu tipa hao magereza ni kama wauza mafuta sheli wataona madumu tu ila sio injeksheni na hakuna wa kuhoji.
 
DPP kashakula ela,ndio maana kafuta kesi. unafutaje kesi wakat mtu kanajisiwa kwa chupa? nn maana haki mahakani? angekuwa kijana wake DPP anajisiwe kwa chupa angefuta kesi?
 
Hai wanajuana kesi nyani upeleke kwa ngedele, fanya wewe kapuku mvuja jasho uone kama yule mama wavipande bya nyama pori ndiyo utaijua siri kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…