bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
ZippoTafuta na wewe pesa acha kulalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZippoTafuta na wewe pesa acha kulalamika
Basi hutofungwa ua na weweZippo
Siwezi ua mtu ninayo akili timamu.Basi hutofungwa ua na wewe
Acha kusingizia watu kama huna ushahidiSiwezi ua mtu ninayo akili timamu.
Mazingira yapo waziAcha kusingizia watu kama huna ushahidi
Katoe ushahidi mahakamani afungweMazingira yapo wazi
Mahakamani ni biashara kama wazee wa Baraza washalamba wewe naniKatoe ushahidi mahakamani afungwe
Kata rufaaMahakamani ni biashara kama wazee wa Baraza washalamba wewe nani
Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho inaweza kuwa kwa mtu mwingine yoyote.
Amesema aliyefungua keshi ya Gekul alipeleka chini ya Kifungu cha 128 (2) (4) na ile sio Private Prosecution. Na sheria imetoa mwanya pale mambo mtu aridhiki kwa namna DPP anaendesha mashtaka anaweza kuomba kuendesha mashtaka yeye.
Anasema kilichotokea kwa Pauline Gekul ni kwamba Polisi walikuwa wanaendelea na Uchaguzi, mara DPP anaona kesi imesajiliwa Mahakama. Ambapo alifutilia kuangalia kama utaratibu wa kifungu cha namba 128 umefuatwa maana yeye kama DPP hakuwa anajua.
Anasema Polisi walikuwa hawajafika mwisho na uchunguzi na walikuwa wanachunguza vitu viwili kwa sababu Gekul alienda Polisi kushtaki na aliyeshtakiwa na Gekul naye alienda kushtaki Polisi. Na hivyo aliamua kuondoa kesi hiyo mahakamani kwa mujibu wa sheria
Amesema majarada ya Pauline Gekul yamefika ofisini kwakwe na wanafanyia kazi na pengine wikii hii ama watashtaki au hawatashtaki na kuna jarada ambalo Gekul analalamika na ambalo analalamikiwa.
View attachment 2862327
Soma sheria acha janja janja. Kama we siyo mwanasheria ni ngumu kuelewa. Kama.unataka kuelewa soma angalau diploma ya sheria. Unajua kangaroo court?Hata sielewi huyu mtu ana maana gani. Yaani hizi ndo teuzi ,inazofanywa kizembe hadi nchi inaangukia mikononi mwa wsomi uchwara.
Usihamaki. Watoto wa Palestine unawaona wanapigania nchi yao? Wewe jitu zima na midevu kibao unalalamika humuTanzania viongozi wanafanya watakavyo kwa sababu ya uswaza wa sisi raia. Washenzi kama hawa hawana tofauti na vibaka na wanatakiwa kushughulikiwa kama vibaka.
Hapana, nani mwenye kosa hapo Hadi akimbilie kufuta kesi. Ni kweli polisi hawajui utaratibu wa kesi ya jinai kuwa kesi inapaswa kusajiliwa? Je mahakama haijui kwamba kesi inapaswa kusajiliwa? Je , kwanini kesi ilianza kusikilizwa kabla ya kusajiliwa? Je hii ni kesi ya kwanza kutajwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika?Je polisi na mahakama wanaweza fanya uzembe kama huo kweli? Kama ni ndiyo taifa hili linaongozwa na wajinga? Je, kijana yule aliyefanyiwa ukatili hizi taratibu anazijua? Kama gekul alitumbuliwa, je ni kosa gan alifanya Hadi kutumbuliwa?Je Rais alikurupuka? Umemtia aibu hapa.Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho inaweza kuwa kwa mtu mwingine yoyote.