chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.
Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi JPM aliwaahidi Ujaji kama zawadi yao, bahati mbaya JPM akafa, kifo Cha JPM kiliwafanya walie ofisini kama watoto huku wakivuja kamasi
Wengi wao ni matajiri wa kutupwa wakimiliki majumba na Mali mbalimbali hapa nchini.
Kuubadili mfumo na kuwaacha watu hawa ofisini ni kazi Bure, wakawe hata makatibu tarafa au Katibu Kata huko.
Issue zenye mishe za hovyo kulikuwa na majina huyakosi.
Hebu tuyataje hapa chini katika Uzi huu.