DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wawaondoe Mawakili wote waliohusika na plea-bargaining, wataingilia uchunguzi!

Wakyo kafanya kazi nzuri sana alitakiwa apandishwe cheo awe DDP au Mkuu wa Takukulu aliwanyoosha sana wachina na wahindi na wahujumu uchumi wote, lakini sasa hivi wachina wamerudi kwa kasi na kuchukua meno ya tembo, waarabu wana chukua wanyamapori wetu, nchi ipo uchi hii.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Uyo anapswa awe jela
 
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.
Malipo yote ya plea bargain yamelipwa kwa control number, hivyo fedha zote zilizolipwa taarifa zote zipo fedha ziliingia account gani!. Ukilipa chochote kwa control number, fedha hizo unaingia straight serikalini!.

Fedha yoyote ikiisha ingia kwenye account yoyote, haiwezi kutoka bila command ya maandishi, na transactions data zipo za kiasi cha pesa kilichohamishwa kimehamishiwa wapi au kama ni cash, zimechukuliwa kiasi gani, benk gani na alichukua ni nani!. Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.
Wengi wao ni matajiri wa kutupwa wakimiliki majumba na Mali mbalimbali hapa nchini.
Huu sasa ni wivu wa kike!. Hakuna kosa lolote kwa watumishi wa serikali kuwa matajiri wa kutupwa na kumiliki majumba na mali mbalimbali.
P
 
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.

Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi JPM aliwaahidi Ujaji kama zawadi yao, bahati mbaya JPM akafa, kifo Cha JPM kiliwafanya walie ofisini kama watoto huku wakivuja kamasi

Kuubadili mfumo na kuwaacha watu hawa ofisini ni kazi Bure, wakawe hata makatibu tarafa au Katibu Kata huko.

Issue zenye mishe za hovyo kulikuwa na majina huyakosi.

Hebu tuyataje hapa chini katika Uzi huu.....

View attachment 2501818View attachment 2501854
Bila kumsahau hakimu huruma shahidi huyo ndio alikuwa master mind wa kesi za uhujumu uchumi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Malipo yote ya plea bargain yamelipwa kwa control number, hivyo fedha zote zilizolipwa taarifa zote zipo fedha ziliingia account gani!. Ukilipa chochote kwa control number, fedha hizo unaingia straight serikalini!.

Fedha yoyote ikiisha ingia kwenye account yoyote, haiwezi kutoka bila command ya maandishi, na transactions data zipo za kiasi cha pesa kilichohamishwa kimehamishiwa wapi au kama ni cash, zimechukuliwa kiasi gani, benk gani na alichukua ni nani!. Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.

Huu sasa ni wivu wa kike!. Hakuna kosa lolote kwa watumishi wa serikali kuwa matajiri wa kutupwa na kumiliki majumba na mali mbalimbali.
P
Of course mtumishi kuwa tajiri Ni sawa Kama mtumishi amepata Mali kwa njia halali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.

Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.

Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi JPM aliwaahidi Ujaji kama zawadi yao, bahati mbaya JPM akafa, kifo Cha JPM kiliwafanya walie ofisini kama watoto huku wakivuja kamasi

Wengi wao ni matajiri wa kutupwa wakimiliki majumba na Mali mbalimbali hapa nchini.

Kuubadili mfumo na kuwaacha watu hawa ofisini ni kazi Bure, wakawe hata makatibu tarafa au Katibu Kata huko.

Issue zenye mishe za hovyo kulikuwa na majina huyakosi.

Hebu tuyataje hapa chini katika Uzi huu.....

View attachment 2501818View attachment 2501854
Cha ajabu yule bwana mswahili swahili na mlezi wa masnake snake na jopo lake lote wataonekana wasafi sana kuliko yule kipenzi cha wananzengo! Wakati wanatesa Kwa zamu wananzengo wanateseka Kwa zamu!! And this is Nyerere land
 
SIjui ni kwa nini huyu mama anatuchukulia watanzania kama wajinga,!?, amekuwa akiongea vitu ambavyo ni mtu mjinga tu ndie anaweza kuamini,kipindi anaapishwa,aliliambia Taifa kuwa kipindi jpm amefariki,kuna pesa nyingi zilipigwa,mpk akaunda tume ili ifanye uchunguzi,na mlengwa mkuu alikuwa ni dkt bashiru ally kskurwa,mpk leo kimyaa,leo tena anazuka na lingine,yule anaye mtuhumu,kampa nafasi kubwa tu,
Ndio tabia ya frustrated Leaders. Hao huwa wanalaumu kila kitu bila kuchukua hatua yoyote. Wanaweza kulaumu mpaka kiti walichokikalia na kumshutumu seremala kuwa hakukitengeneza vizuri. CCM imeharibu mifumo mingi ya nchi, majizi yapo kila kona na yanachekewa na kupongezwa na huyo huyo aliyewateua. Ajiuzulu tu.
 
SIjui ni kwa nini huyu mama anatuchukulia watanzania kama wajinga,!?, amekuwa akiongea vitu ambavyo ni mtu mjinga tu ndie anaweza kuamini,kipindi anaapishwa,aliliambia Taifa kuwa kipindi jpm amefariki,kuna pesa nyingi zilipigwa,mpk akaunda tume ili ifanye uchunguzi,na mlengwa mkuu alikuwa ni dkt bashiru ally kskurwa,mpk leo kimyaa,leo tena anazuka na lingine,yule anaye mtuhumu,kampa nafasi kubwa tu,

Mama Samia yupo Sysytematic hakurupuki. Hamalizi kila kitu siku moja.
 
Walikuwa wanarudisha pesa zetu, kweli mitanzania mijinga mtu anaturudishia pesa zetu hatutaki sasa mnataka nini, Mimi ninge mshauri Raisi amteue Manganga kuwa mkuu wa takukulu, na mawakili walikuwa wanatusaidia kuzirudisha pesa zetu wapande cheo wawe Majaji na mwanasheria mkuu aondolewe huyu alikuwa akiwalinda mafisadi wakati alipokuwa na cheo cha DDP.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app

Wanarudisha pesa halafu hao kina mganga wana kula. Unaelewa lakini? Shida ipo kwenye kula hizo pesa. Yani mganga alae pesa halafu uje umpe ukuu wa Takukuru?.
 
Wakyo kafanya kazi nzuri sana alitakiwa apandishwe cheo awe DDP au Mkuu wa Takukulu aliwanyoosha sana wachina na wahindi na wahujumu uchumi wote, lakini sasa hivi wachina wamerudi kwa kasi na kuchukua meno ya tembo, waarabu wana chukua wanyamapori wetu, nchi ipo uchi hii.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app

Huyo wankyo ndiye alifungua akaunti china ya kupeleka pesa ya plea bargain, sasa fisadi wa hivyo unampaje ukuu wa TAKUKURU?
 
Malipo yote ya plea bargain yamelipwa kwa control number, hivyo fedha zote zilizolipwa taarifa zote zipo fedha ziliingia account gani!. Ukilipa chochote kwa control number, fedha hizo unaingia straight serikalini!.

Fedha yoyote ikiisha ingia kwenye account yoyote, haiwezi kutoka bila command ya maandishi, na transactions data zipo za kiasi cha pesa kilichohamishwa kimehamishiwa wapi au kama ni cash, zimechukuliwa kiasi gani, benk gani na alichukua ni nani!. Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.

Huu sasa ni wivu wa kike!. Hakuna kosa lolote kwa watumishi wa serikali kuwa matajiri wa kutupwa na kumiliki majumba na mali mbalimbali.
P

Punguza ujuaji na dharau. Unajifanya kujua kila kitu kuliko Rais wa nchi. Una dharau sana, unamuona rais kama hajui kitu. Yani anajiongolesha. Sawa endelea na dharau zako.
 
Cha ajabu yule bwana mswahili swahili na mlezi wa masnake snake na jopo lake lote wataonekana wasafi sana kuliko yule kipenzi cha wananzengo! Wakati wanatesa Kwa zamu wananzengo wanateseka Kwa zamu!! And this is Nyerere land

Wote wezi tu CCM hakuna cha nani wala nani, wanadanganya wananchi tu.
 
Malipo yote ya plea bargain yamelipwa kwa control number, hivyo fedha zote zilizolipwa taarifa zote zipo fedha ziliingia account gani!. Ukilipa chochote kwa control number, fedha hizo unaingia straight serikalini!.

Fedha yoyote ikiisha ingia kwenye account yoyote, haiwezi kutoka bila command ya maandishi, na transactions data zipo za kiasi cha pesa kilichohamishwa kimehamishiwa wapi au kama ni cash, zimechukuliwa kiasi gani, benk gani na alichukua ni nani!. Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.

Huu sasa ni wivu wa kike!. Hakuna kosa lolote kwa watumishi wa serikali kuwa matajiri wa kutupwa na kumiliki majumba na mali mbalimbali.
P
Hapa Mayala umesema uwongo kwa 100%. Hakuna malipo ya hicho kilichoitwa plea bargaining, yaliyofanywa kupitia mfumo wa kibenki. Ilikuwa ni lazima kulipa kwa cash baada ya kukubaliana na DPP.

Hakuna aliyeruhusiwa kufanya bank transfer au kulipa kwa cheque. Pesa ilipelekwa kwa DPP kwenye mabag na maboksi.

Walipaji walisainishwa kwenye makaratasi, tena viwango tofauti na kiasi ealicholipwa.
 
Walikuwa wanarudisha pesa zetu, kweli mitanzania mijinga mtu anaturudishia pesa zetu hatutaki sasa mnataka nini, Mimi ninge mshauri Raisi amteue Manganga kuwa mkuu wa takukulu, na mawakili walikuwa wanatusaidia kuzirudisha pesa zetu wapande cheo wawe Majaji na mwanasheria mkuu aondolewe huyu alikuwa akiwalinda mafisadi wakati alipokuwa na cheo cha DDP.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
We umepata tsh. Pesa zenu zilizorudishwa?
 
[QUOTE="Pascal Mayalla, post: 45154358, member: 17813"

Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.
P[/QUOTE]Yaani Pasco unamdharau Mwenyekiti wako na Rais kiasi hiki! Kweli umeutendea haki usukuma Gang wako. Wamekusikia
 
Back
Top Bottom