DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wawaondoe Mawakili wote waliohusika na plea-bargaining, wataingilia uchunguzi!

Uyo anapswa awe jela
 
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.
Malipo yote ya plea bargain yamelipwa kwa control number, hivyo fedha zote zilizolipwa taarifa zote zipo fedha ziliingia account gani!. Ukilipa chochote kwa control number, fedha hizo unaingia straight serikalini!.

Fedha yoyote ikiisha ingia kwenye account yoyote, haiwezi kutoka bila command ya maandishi, na transactions data zipo za kiasi cha pesa kilichohamishwa kimehamishiwa wapi au kama ni cash, zimechukuliwa kiasi gani, benk gani na alichukua ni nani!. Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.
Wengi wao ni matajiri wa kutupwa wakimiliki majumba na Mali mbalimbali hapa nchini.
Huu sasa ni wivu wa kike!. Hakuna kosa lolote kwa watumishi wa serikali kuwa matajiri wa kutupwa na kumiliki majumba na mali mbalimbali.
P
 
Bila kumsahau hakimu huruma shahidi huyo ndio alikuwa master mind wa kesi za uhujumu uchumi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Of course mtumishi kuwa tajiri Ni sawa Kama mtumishi amepata Mali kwa njia halali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu yule bwana mswahili swahili na mlezi wa masnake snake na jopo lake lote wataonekana wasafi sana kuliko yule kipenzi cha wananzengo! Wakati wanatesa Kwa zamu wananzengo wanateseka Kwa zamu!! And this is Nyerere land
 
Ndio tabia ya frustrated Leaders. Hao huwa wanalaumu kila kitu bila kuchukua hatua yoyote. Wanaweza kulaumu mpaka kiti walichokikalia na kumshutumu seremala kuwa hakukitengeneza vizuri. CCM imeharibu mifumo mingi ya nchi, majizi yapo kila kona na yanachekewa na kupongezwa na huyo huyo aliyewateua. Ajiuzulu tu.
 

Mama Samia yupo Sysytematic hakurupuki. Hamalizi kila kitu siku moja.
 

Wanarudisha pesa halafu hao kina mganga wana kula. Unaelewa lakini? Shida ipo kwenye kula hizo pesa. Yani mganga alae pesa halafu uje umpe ukuu wa Takukuru?.
 

Huyo wankyo ndiye alifungua akaunti china ya kupeleka pesa ya plea bargain, sasa fisadi wa hivyo unampaje ukuu wa TAKUKURU?
 

Punguza ujuaji na dharau. Unajifanya kujua kila kitu kuliko Rais wa nchi. Una dharau sana, unamuona rais kama hajui kitu. Yani anajiongolesha. Sawa endelea na dharau zako.
 
Cha ajabu yule bwana mswahili swahili na mlezi wa masnake snake na jopo lake lote wataonekana wasafi sana kuliko yule kipenzi cha wananzengo! Wakati wanatesa Kwa zamu wananzengo wanateseka Kwa zamu!! And this is Nyerere land

Wote wezi tu CCM hakuna cha nani wala nani, wanadanganya wananchi tu.
 
Hapa Mayala umesema uwongo kwa 100%. Hakuna malipo ya hicho kilichoitwa plea bargaining, yaliyofanywa kupitia mfumo wa kibenki. Ilikuwa ni lazima kulipa kwa cash baada ya kukubaliana na DPP.

Hakuna aliyeruhusiwa kufanya bank transfer au kulipa kwa cheque. Pesa ilipelekwa kwa DPP kwenye mabag na maboksi.

Walipaji walisainishwa kwenye makaratasi, tena viwango tofauti na kiasi ealicholipwa.
 
We umepata tsh. Pesa zenu zilizorudishwa?
 
[QUOTE="Pascal Mayalla, post: 45154358, member: 17813"

Hii ya sijui accounts ziko China!, ni stories za Mama kunogesha!.
P[/QUOTE]Yaani Pasco unamdharau Mwenyekiti wako na Rais kiasi hiki! Kweli umeutendea haki usukuma Gang wako. Wamekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…