DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

Status
Not open for further replies.
Unapambana na viumbe waliopagawa roho za visasi tu!Hata ukiwapa dunia nzima hawaridhiki hawa!Wana hamu na damu ya watu tuu ndio maana wametafuta kisingizio cha mahali pa kuanzia kwani wanajua kuwa wakristo watachoka kusingiziwa tu kila kibaya na hapo lengo lao litakuwa limetimia!kumwaga damu kwa ajili ya majini yao!Naona njia itakayopunguza mihemko ya roho hizi za chuki ni maombi ili wapate akili ya kujiuliza japo kidogo.
 
Kile kiwanda cha silaha cha Iran ilioko Sudan ambacho kimelipuliwa na ndege za Israel ni cha kina Ponda pamoja na Janjaweed, Alshabaab, Uamsho na wengine wote wenye ndoto ya kuunda a big islamic empire in east afrika

umenikumbusha kazi za sectiön 1
 
Ponda anahusika na mauaji ya sheikh mombasa?basi ni bora apelekwe guantanamo bay.
 
Aisee kumbe ponda ana kesi ya KIGAIDI, WIZI na MKIMBIZI mi nalikuwa sijui. Sasa akitoka si itakuwa balaa...nadhani wanatakiwa wamuweke weke kidogo maana wanaweza kupata na makosa mengine ya KIJANGIRI.
 
Waislamu bwana. Eti SHEHE ISSA PONDA NDIYE MUFTI WA TANZANIA WANAEMJUA HUYU MUFTI WA SASA NI MSAIDIZI WA PENGO.
 

Unajua maana ya shia?nani amekuambia wanaoandamana ni shia?no research no right to speak.Sio lazima kila thread mchangie jaman.
 
Wangetupatia cv zake tumjue vizuri. Kama hali ni hivyo hawezi achiwa kwa dhamana. Labda walimtafuta sasa yuko kwenye kumi na nane zao hawamwachii. Waislam kazeni Dua Shehe asije potelea kizuizini

Atatoka tu, la sivyo hapatoshi hapa. Wewe kama upo kariakoo utafunga biashara na kama upo city centre utafunga ofisi nani anapata faida kwa upuuzi wenu huu. kwani Ponda ana kesi gani nzito ya kuvamia kiwanja? mbona ni mgogoro tu wa ardhi kama migogoro mingine mingi. Paul aliwauliza Wagalatia kwa kuwatusi bado tu haujaona mantiki yake?
 
matatizo haya yanasababishwa na ushabiki na kila mmoja kuwa na tabia ya kuona yeye ndie bora zaidi na mwenye haki.
 
nilisikia jamaa wakisema km Lulu kaachiwa basi ponda ambaye hajatoa roho ya mtu ana haki zaidi ya kupata dhamana
 
baadhi ya waislam wa tanzania full vichekesho,badala ya kutafuta jinsi ya kutoka kimaisha wao wapo bize na ujingaujinga

Na wewe unayekesha kwenye Jamiiforums ushatoka kimaisha? Mbona wale waliokuwa wanataka kuandamana nchi nzima hukuwaambia watafute jinsi ya kutoka kimaisha?
 
nilijua nitapingwa kumbe nitaunga mkono.asante shekhe wangu! hawa watu wanaotaka kutengeneza mazingira ya uadui kwa hoja za kutengeneza tuwakosoe.

Mkuu betlehem umekuwa na maono tofauti sana na waislam wengine. Nimependa sana hii. Unatakiwa uwe unawaelimisha hata hao wenzetu kuwa hizi dini tunaamini kwa sababu tunaamini na hakuna proof ya kuamini kwetu.
Haina haja ya kuchinjana kwa sababu hivi vitabu tumevikuta na tukaaminishwa.
 
Last edited by a moderator:
Kile kiwanda cha
silaha cha Iran ilioko Sudan ambacho kimelipuliwa na ndege za Israel ni
cha kina Ponda pamoja na Janjaweed, Alshabaab, Uamsho na wengine wote
wenye ndoto ya kuunda a big islamic empire in east afrika

hiyo ndio shida ya kukaririshwa maneno, sasa hapo ndio umeandika nini?
 
Huwa naelimisha kama hivi.Nawe saidia katika hili mkuu.Kadhalika watanzania wengi mtu hujikuta akiwa muislam kwa kuwa kazaliwa katika familia ya kiislam na kuwa mkiristo kwa sababu hiyo hiyo. kwa sababu hiyo wengi wamejikuta na dini zao kwa bahati nasibu tu kama mtu anavyojikuta mwanaume au mwanamke. Kadhalika hata tukisema tugombane mwisho wa siku tutaishia tu kuishi kwa chuki badala ya upendo na dini hizi zitaendelea kuwepo.sasa kwa nini tusiamue tu kuendelea kuishi kama mpare anavyoishi na mchaga(Wana taniana tu lakini kirafiki zaidi na hakuna mwenye ugomvi na mwenzake!)
 
wanajeshi wote wa marekani hufundishwa kuwa adui yao mkubwa ni uislam.sudan ya kusini mmefurahia kujitenga,mali kaskazini kutaka kujitawala nguvu zote zimetumika kupinga

Ama kweli akili nyingine zaendeshwa kwa remote control. Kwa hiyo jeshi la marekani haliajiri waislamu?
 
Sheik Ponda badilika​

raha ya siku hizi ni waislam vs wakiristo kma ilivyotokea GEITA sio waislam vs Polisi . Hapa ndipo patamu na sasa kweli wanasiasa wataanza kuwaona waislam nao ni muhimu katika Maisha ya Tanzania
 
Ninamashaka na mwenendo wa viongozi wa umma waliokabidhiwa dhamani ya kuongoza ofisi mbalimbali. Kashililah tayari anataka kutunyima haki ya kuhabarishwa na huyu naye “Hawa Waislamu wasitake kuligawa taifa kwa udini, huku wakiweka kisingizio cha kudai haki zao. Tunawaomba waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari wasiwaunge mkono kwa kuandika habari zao, badala yake tuungane kupinga vitendo hivyo."

Nadhani huu ni mkakati mpya wa serikali ya ccm katika kupambana na wanyonge na walalahoi wa Tanzania.
 
Tulisha andika sana kujihusisha huyu Bw na Alshabab na mimi binafsi naendelea kusisitiza kuwa migogoro ya kidini inaanzia katika mahubiri yanayolenga kukosoa dini nyingine. Mihadhara hii ipigwe marufuku, nashangaa mmeshupalia kuwa vurugu za kidini chanzo ni vyama vya kisiasa. Kule Buseresere kuna ofisi gani ya chama imechomwa moto???

Busara itumike kupiga marufuku mihadhara ya kukashifu dini nyingine.
 
Anahusika na mauaji ya shekhe wa kenya! Haya ni makubwa, uraia nao una matata!

Sitachelea kuamini kuwa Karagosi naye alizimishwa na huyu. Ila kwa silaha ya kitabu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…