Sijui ni laana au kitu gani. Kwa hiyo, Mufti akiuza mali za BAKWATA anakuwa msaidizi wa Pengo?
Mmelelewa vibaya sana. Haiwezekani mtu mzima ukawa mjinga na ukajivuna kwa hilo. Hivi Pengo anahusikaje na BAKWATA kama sio mna matatizo nyinyi watu? Kuna mtu alisema '...............ni karakana ya SHETANI'' na sasa naamini. Niulizeje, hamna hata mmoja mwenye kufikiri miongoni mwenu akawasaidia na wenzake kupata ufahamu?
Dunia nzima Waislam wanalalama kuwa wanaonewa, mbaya zaidi hadi katika nchi ambazo mko wenyewe tu. Sasa huko nako ni Pengo anawadhulumu mali zenu za BAKWATA? Egypt sasa inaongozwa na Muslim Brotherhood, lkn wote tunasikia maandamano na vifo kila kukicha, na huko nako ni Mfumo Kristo? Zero kabisa!