Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Ujue mkuu hili swala limeibua sana swala la ubaguzi, mpaka Muungano hawauoni faida yake. Wenye asili ya Tanganyika wanakwambia aliyesaini ni Waziri, Katibu mkuu wa Wizara, na Raisi mwenyewe aliyeingia haya makubaliano na wote wanatoka Zanzibar, na makunaliano hayo yameingiza bandari zote pamoja na bandari za maziwa makuu, hapo ukifikilia huu upande wa Tanganyika itakuwa rahisi kuyaelewa haya makubaliano.New member wengu wanataka ikiwezekana hata samia auawe sembuse jujubali marekebisho?