DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

Naona tunarudi kabisa kwenye ukoloni mkongwe wa Kimangungo.
 
Suala la bandari tupige kura kukubali au kukataa
 

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hebu tuambie wewe unafahamu mkataba unahusu nini na ni wa muda gani? Tuambie.
Tuombe atueleze, kama kutakuwepo na kutoelewana (sijui katika mambo gani), sheria zetu ni takataka, italazimu twende kwingine kupata haki yetu au ya hao tulioingia nao makubaliano.
Haya nayo yanahusu nini hasa?
Vitu visivyokuwepo?
Mambo ya kusadikika tu, tunakubaliana kabisa kwenda mahakamani, tena kwenye mahakama maalum!
Hauna ukomo kivipi? Kwa mujibu wa yale makubaliano mwekezaji kapewa eneo lipi hadi uulize ukomo?

Kwani pia kuna nwekezaji kapewa bandari yeyote au ziwa lolote au special economic yeyote kwa mujibu wa ule mkataba?
 
Wewe huelewi 'moto' ya JF;" where we dare talk openly"?

Tena jambo lenyewe linaloihusu JF na wanachama wake?

Wewe mkuu, utaniwia radhi nikikuita "mwongo"; kwa sababu ndivyo ulivyo katika swala hili.
Sawa mkweli, ila jamaa hapa kanitonya kumbe new members wengi ndio hao hao ma expert, thus why wengi wenu mumepanick?
Poleni sana
 
Sawa mkweli, ila jamaa hapa kanitonya kumbe new members wengi ndio hao hao ma expert, thus why wengi wenu mumepanick?
Poleni sana
Hata hueleweki unaandika nini.

Ndio nyinyi mliotumwa kuja kuokoa jahazi?
Mtu kama wewe unajua kitu gani hata kujieleza kwenyewe huwezi?

Halafu unadai "New Members" wewe kuwepo hapa tokea 2018 umechangia lipi tunaloweza kukutambulisha kuwa wewe ni member aliyebobea?
 
Mahakama gani utaenda wakati mkataba unazuia kwenda mahakamani?
 
New members, mtasubiri sanaaa, watanzania tunakwenda mbele na mwarabu kwa maendeleo

Mlichobakia nacho ni kudhania dhania tu,
Mirija yote inazibwa mnaweweseka,
Kuanzia parokia, kunya land, warundi na wanyarwanda mjiandae tu hakuna namna, tuna rais mtanzania originally saa hii, si hao foreigners waliopita ukitoa wawi walio hai
 
Ni wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…