Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu.
Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani.
======================================================
Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt.Aikande Kwayu akiwajibu wakosoaji wa uongozi wa Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Freeman Mbowe
"Kinachonishangaza ni hiki; watu ambao hawajawahi kabisa kutaka kuwa wanachama ndio wanajidai wana “interest” kupita kiasi kwenye uchaguzi wa ndani wa chama"
"Kama unaona CHADEMA chini ya uwenyekiti wa Freeman inasuasua, jiunge chama unachoona kiko vizuri kuna vyama 19 vya siasa Tanzania"