Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

Watu wangejenga chama bila uongozi? Kwan kina CUF hawakua na watu? Hivi kwann hamkubali Mbowe kupitia uongozi wake ndo ineifikisha CDM hapa? Leo hii uchaguzi wa CDM unapata coverage kias hichi unafikiri bila juhudi za uongozi thabiti wa Mbowe mngekua hata mnauzungumzia uchaguzi wa CDM kiasi hiki? Kwan CUF nao si walikua na uchaguzi ulikua kama hivi? Lissu si alikua NCCR kwann asingekijenga NCCR kikawa imara kama ilivyo CDM mwishowe akahama kuja CDM alafu leo hii muone Mbowe hamna alilofanya na matusi juu. PUMBAFU ningekua mm Mbowe ningewachapa wote nyie. Lissu agombee lakin usianze kumbeza Mbowe mtakua mnazingua BIG TIME
Kwa logic hii Nyerere hakupaswa kupisha? Kuhusu Mbowe hakuna anayepinga kwamba hajaifikisha chadema hapo ila kwa sasa amefikia peak hawezi exceed hapo inabidi mwingine afanye succession ili twende level nyingine. Mbona Zitto amepisha kiongozi mkuu? kwani kuna ACT bila Zitto?
 
Hivi kwenye nafikria kw hekaheka hizi Mwenyekiti wa uchaguzi wa CHADEMA anamtangaza Tundu Lisu ndiyo mshindi wa uchaguzi afu Mwenyekiti anayemaliza muda wake anagomea matokeo na ufunguo wa ofisi hataki kutoa yeye na wafuasi wake nini kitatokea?
 
Back
Top Bottom