Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

Yes, huu ndio msimamo wangu pia! Huwezi kutafuta uongozi kwa shinikizo kwamba fulani asigombee, hiyo haikubaliki! Kama Lissu anaona CHADEMA imepoteza mwelekeo aende ACT hakuna anayemzuia bwana!
 
Watu waache upumbavu bwana! Lissu ametaka kuchukua umwenyekiti hivyo awe mtulivu sanduku la kura liamue siyo kulazimisha eti Mbowe asigombee! Mwamba yupo sana!
 
Dr Aikande kwayu; Ninaomba kuuliza, Je Unaweza kukatia ndoa Bima?
 
Kila Jambo Na Wakati Wake Ata Nccr Na Cuf Vilikuwa Vyama Vikuu Vya Upizani Leo vipo Wapi? Wachaga Bhana Ni Shida
 
Ukweli ni kwamba Chadema ni miliki binafsi ya Mbowe,,,sisi wanachama. Ni Kama makondoo tu,,,#kidumu Chama Cha mapinduzi# SAMIA MI 5 tenaa
 
Ajifunze siasa huyu mwehu, chana ni cha wananchi sio cha kundi la mbowe, wananchi wakisema hatoshi aachie ngazi tuu sababu hayupo pale kwa faida yake na kundi lake
 
Kwa hiyo anatuhakikishia haws majuha akina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, chiembe Na akina Nape ni wanachama ama wanataka kujiunga na CHADEMA?
Maana nao wanaimba wimbo wa Mwamba Tuvushe
 
Kwa hiyo anatuhakikishia haws majuha akina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, chiembe Na akina Nape ni wanachama ama wanataka kujiunga na CHADEMA?
Maana nao wanaimba wimbo wa Mwamba Tuvushe
kwahiyo gentleman,
umekasirikia kabisa kwasabb maoni na mtazamo huru na wa haki wa mdau wa JF, dhidi ya wanachadema wenye gubu, mihemko na makasiriko dhidi ya azma ya Mbowe kuendelea kuiongoza chadema Taifa?

Hasira zako zinatoka wapi hali ya kua nawe una uhuru na haki ya kutoa maoni na mtazamo wako dhidi ya mgombea uongozi yeyote wa chadema ngazi ya taifa?

Ni wazi Freeman Aikaeli Mbowe anakubalika zaidi kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya chadema, kuiongoza chadema. Na hili liko wazi gentleman 🐒
 
Huyu ana akili sawa na yule aliyesema tuhamie burundi
Namna bora ya kuifilisi saccos ya Mbowe na kuvunja ndoa yake na SSH ni kuunga mkono chama kingine mkono.
Kikiinuka chama chenye nguvu ccm haitamfadhili tena Mbowe kwani hatakuwa tishio kwa ccm
 
Wamachame hao. Mtu huna uchaga wowote angalau upande wa mzazi mmoja halafu unaleta kiherehere kwa wenye chama chao lazima ule za uso.
 
Kwa cdm ni mali yake au ni taasisi ya umma?
Huu ndo mwisho wa usulutani
 
TLP ina nafasi kibao na inawaita mkaijenge mwenyewe alishaondokaga.
 
Anza halafu tutakufuata,mwamba anatizamisha ,hatuvushi,tunahitaji kuvuka tena kweli kweli.Na poa tutafika mahali tutawakataa wote wa jalalani.
 
Chama kingine kinaenda kuanzishwa soon baada ya januari
Kuliko mbowe aendelee kuwa mwenyekiti bora tu chadema niliyoipigia kura chaguzi kuu zote (hata kishingo upande alipokuja lowasa) ife!.
 
Huyu fala udr aliipata wapi?
 
FREE CHADEMA, OUT MUSEVENI MUGABE MBOWE .Alafu haya majina ya M tuwe nayo makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…