Watu wangejenga chama bila uongozi? Kwan kina CUF hawakua na watu? Hivi kwann hamkubali Mbowe kupitia uongozi wake ndo ineifikisha CDM hapa? Leo hii uchaguzi wa CDM unapata coverage kias hichi unafikiri bila juhudi za uongozi thabiti wa Mbowe mngekua hata mnauzungumzia uchaguzi wa CDM kiasi hiki? Kwan CUF nao si walikua na uchaguzi ulikua kama hivi? Lissu si alikua NCCR kwann asingekijenga NCCR kikawa imara kama ilivyo CDM mwishowe akahama kuja CDM alafu leo hii muone Mbowe hamna alilofanya na matusi juu. PUMBAFU ningekua mm Mbowe ningewachapa wote nyie. Lissu agombee lakin usianze kumbeza Mbowe mtakua mnazingua BIG TIME