AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka mfukoni. Tutakutana mahakamani