Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

Huyo Prof .. ni mtu poa sana ..... Labda kama Malasusa amepeleka pesa kwenye mambo ya ccm!!. Malasusa aliwahi kufeli huko nyuma sema waafrika tu wapuuzi... Unamuacha Bagonza unamchagua Malasusa😅🙌
 
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka mfukoni. Tutakutana mahakamani
Prof. Faustine Mahaki amesoma chuo gani na Uprofessa aliupatia wapi?
 
Acha kutetea upumbavu, jibu hoja za mtoa mada, KWA NN HAMLIPI WAFANYAKAZI WENU? Hii ndo mtoa mada kalalamikia,
Upumbavu ni usipotoa sadaka halafu kubwabwaja mitandaoni.
Huna meaningful contribution halafu mnajamba jamba tu.
Tafuta kazi msikitini ule mradi wako.
 
Hivi siyo kwamba kipato cha shule kinatokana na kusajili watahiniwa wa kutosha?

Sasa tunaweza pata picha kwanini udsm ghafla direct cost imetoka 97K mpaka 255K
 
Yule Dr Shoo wa KKKT, hajawahi kuanzisha mradi hata mmoja! Kazi yake ni kufungua makanisa,na hajui makanisa hayana watu.
Huko makumira,amewasaidia nini?
Yule naye ni wale wale
 
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka mfukoni. Tutakutana mahakamani
Taasisi za RC huwezi kusikia vilio hivi........afu mtu anawabeza RC
 
Back
Top Bottom