peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Wenzetu wapo kwenye Research ya New Testament
Mapadri na masista hawana ndoa, hii tu inaleta utofauti mkubwa. Kwa familia zetu hizi za kijamaa, ukiwa mchungaji maana yake uhudumie ukoo wako, wa mke wako hapo unategemea nini kama sio vishawishi vya kuiba hela za waumini?. Pia RC haina demokrasia, inaendeshwa kwa amri kama jeshi na pia RC inaendeshwa kama taasisi moja kidunia, shule iko Tanzania ila kuna ushirikiano wa karibu na shule nyingine ya kanisa iliyoko nje ya Tanzania mfano mkuu wa shule ya RC Tanzania anaweza kuwa sista ambaye sio raia wa Tanzania. Hii inasaidia kuondoa vitabia fulani vya hovyo ambavyo ni sehemu ya maisha yetu hapa Bongo. Sasa huko KKKT watu wanalalamika kwenye ajira kuna hadi ukabila na ukanda, malalamiko yataishaje kwa hali hiyo?Taasisi za RC huwezi kusikia vilio hivi........afu mtu anawabeza RC
Mbona povu sana Malasusa kaharibu kanisa na taasisi zake.Wengi wa mnaoshambulia hapa ni wale waumini wa msimu, mnaofika kanisani mara mbili kwa mwaka, yaanibpasaka na Xmas.
Zaidi ya hapo mnasali mitandao ya Mwamposa.
Hamjui kuwa wakati wa Askofu Malasusa miradi miwili mikubwa imetekelezwa.
Mradi wa Maendekei Bank, wala hamuuoni.
Feeha za sadaka kila wiki zilikuwa faida kwa mabenibmengine.
Chuo kikuu Dar Tumaini Mikocheni, kimewanufaisha vijana na wazazi wengi sana jijini
DAR.
Wakati watu wenye nia njema wanapiga hatua nyie endeleeni kula navkunya na Ibilisi.
Kule Lushoto Secuco ilishaa jifia huyu mhuni wa ccm anaua vyuo vya kkkt now kahamia MakumiraMalasusa kaiharibu sana KKKT.
Ameharibu nini, tuanzie hapo!Mbona povu sana Malasusa kaharibu kanisa na taasisi zake.
Acheni kumtetea chawa wa sisiemu huyo.
Kumbe kile chuo cha Tanga kilishakufa??. Aisee jamanii.Kule Lushoto Secuco ilishaa jifia huyu mhuni wa ccm anaua vyuo vya kkkt now kahamia Makumira
Kwisha habariKumbe kile chuo cha Tanga kilishakufa??. Aisee jamanii.
Umepotosha sana. Sio vizuri kuongea uongo. Mastahi hajawahi kusumbuliwa na hata Suala la Kimaro , ni Kimaro mwenyewe aliomba radhi hadharani kanisani mbelel ya Malasusa ndipo akasamehewa.Mkuu Huyu mwamba kama unakula nae sahau kuhamishanaaaaa
Shidaaaa mgomee mahitaji yakee aisee ana hasira za gafla uliza wachungaji wakina mastahi na kimaro wa kinitonyama
Yyaan alihitisha kikao siku moja maamuzi siku moja wahamishwe hahahaa akakutana na wanaume wana maisha wanapesa wamejipangaa kwa lolote
Waumini wakasema usitutanie Mh ukuu wako n huko haya makanisa kama sio hawa tusingekuja wakabeba special hire 8 zikatings ofisini
Wakajifungia wakaapa hawatoki alale huko wewee mbona alirudi down akaaomba wachache waongee nae wakamwambia bila barua ya utenguzi wa barua yakoo hatutoki hapa ba pale kimara kanisan patageuka sehemu ya makaburi tutavunja kila kitu
Mkuu akaona isiwe tabu hahaha 😆 😂 🤣 😅 😄 ♥️
Kijitonyama nao wakaamka ujinga hatutaki wakaanza kusali nje wakampelekea memo arudi ama wasione mtu hapa ndan akakosea kupeleka mapolisi walinde kanisa weee moto wake 😆 😂 😆 😂 akatangaza msamaaha fasta ana kisasi balaa ukigoma kula nae
Bora na wewe ukasomee Theologia uwe Mchungaji halafu uchaguliŵe uaskofu.Huyo Prof .. ni mtu poa sana ..... Labda kama Malasusa amepeleka pesa kwenye mambo ya ccm!!. Malasusa aliwahi kufeli huko nyuma sema waafrika tu wapuuzi... Unamuacha Bagonza unamchagua Malasusa😅🙌