Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

AirorokiVava

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2026
Posts
258
Reaction score
302
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka mfukoni. Tutakutana mahakamani
 
HIVI HUYU MWAMBA ANA VYEO VINGAPI AISEE KHA

KUNA DAYOSISI
KUNA TANZANIA NZIMA WALUTHERI
HUKU TENA
MUNA KULE TENA HAMNA WENGINE WA KUWAPA HIVI VYEO
 
Hali n mbaya sana mkuu
Hakuna cha wachingaji wala maaskofu
 
Malasusa atakoma mwaka huu na hii JF
 
Inaelekea kuna kampeni ya watu fulani wanataka mtu wao pale Makumira.
Hizi mada za Tumaini mpelkeeni Askuofu weny Shoo!
 
Endeleeni kusubiri,
wanaendelea kukamua 'kondoo ' kupitia sadaka soon mtakumbukwa.

KKKT ni taasisi ya hovyo kuwahi kutokea.
Wana miradi mingi sana kiasi kwamba ilistahili hata sharika mpya zinazoanza zipate msaada toka makao makuu.
Lakini ajabu ndio hivyo.....kila kitu wanategemea sadaka ya kila Jumapili.

Wakati wa corona ilikuwa almanusra lifilisike 😅
 

Hapo ndo huwa naiogopa Catholic Church 🤣🤣🙌🙌
 
Wengi wa mnaoshambulia hapa ni wale waumini wa msimu, mnaofika kanisani mara mbili kwa mwaka, yaani Pasaka na Xmas.
Zaidi ya hapo mnasali mitandao ya Mwamposa.

Hamjui kuwa wakati wa Askofu Malasusa miradi miwili mikubwa imetekelezwa.
Mradi wa Maendeleo Bank, wala hamuuoni.
Feeha za sadaka kila wiki zilikuwa faida kwa mabenki mengine.
Chuo kikuu Dar Tumaini Mikocheni, kimewanufaisha vijana na wazazi wengi sana jijini
DAR.
Wakati watu wenye nia njema wanapiga hatua nyie endeleeni kula na kunya na Ibilisi.
 
Wewe utakuwa ni mtunza hazina ...a.k.a mhasibu🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…