masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Mi ni muumini tu, wengi wanatumika kurusha matusi KKKT wala wasijue upako uliomo ndani.Wewe utakuwa ni mtunza hazina 🤣🤣
Prof. Faustine Mahaki amesoma chuo gani na Uprofessa aliupatia wapi?Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka mfukoni. Tutakutana mahakamani
Shida imeanzia hapa!Anaitwa Faustine Mahali mkuu.
Ni Mchungaji.
Profesa wa New Testament.
Acha kutetea upumbavu, jibu hoja za mtoa mada, KWA NN HAMLIPI WAFANYAKAZI WENU? Hii ndo mtoa mada kalalamikia,Mi ni muuminibtu, wengi wanatumika kurysha matusi KKKT wala wasikue upako uliomo ndani.
Hakuna vyanzo vya mapato vya kutosha!Acha kutetea upumbavu, jibu hoja za mtoa mada, KWA NN HAMLIPI WAFANYAKAZI WENU? Hii ndo mtoa mada kalalamikia,
Mkuu hicho chuo chenyewe mbona ni chanzo cha mapato kinatosha kabisa kulipa wafanyakazi na kujiendesha chenyewe?Hakuna vyanzo vya mapato vya kutosha!
Upumbavu ni usipotoa sadaka halafu kubwabwaja mitandaoni.Acha kutetea upumbavu, jibu hoja za mtoa mada, KWA NN HAMLIPI WAFANYAKAZI WENU? Hii ndo mtoa mada kalalamikia,
Chuo kimejaza watumishi wasio na sifa!Mkuu hicho chuo chenyewe mbona ni chanzo cha mapato kinatosha kabisa kulipa wafanyakazi na kujiendesha chenyewe?
Hawa jamaa wametulia Sana. Wao wanashughulika na misalaba mikubwa na masanamu makubwa tuu.Hapo ndo huwa naiogopa Catholic Church 🤣🤣🙌🙌
Sasa kama hakuna kwanini chuo kinaendelea kuwepo??. Maana hata kiimani si sawa kumcheleweshea mtu malipo yake, Biblia inakataza hilo jambo.Hakuna vyanzo vya mapato vya kutosha!
Hicho chuo kwa 80%,uongozi wake ni Tawi la CCM!Sasa kama hakuna kwanini chuo kinaendelea kuwepo??. Maana hata kiimani si sawa kumcheleweshea mtu malipo yake, Biblia inakataza hilo jambo.
Taasisi za RC huwezi kusikia vilio hivi........afu mtu anawabeza RCTumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka mfukoni. Tutakutana mahakamani