Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

Taasisi za RC huwezi kusikia vilio hivi........afu mtu anawabeza RC
Mapadri na masista hawana ndoa, hii tu inaleta utofauti mkubwa. Kwa familia zetu hizi za kijamaa, ukiwa mchungaji maana yake uhudumie ukoo wako, wa mke wako hapo unategemea nini kama sio vishawishi vya kuiba hela za waumini?. Pia RC haina demokrasia, inaendeshwa kwa amri kama jeshi na pia RC inaendeshwa kama taasisi moja kidunia, shule iko Tanzania ila kuna ushirikiano wa karibu na shule nyingine ya kanisa iliyoko nje ya Tanzania mfano mkuu wa shule ya RC Tanzania anaweza kuwa sista ambaye sio raia wa Tanzania. Hii inasaidia kuondoa vitabia fulani vya hovyo ambavyo ni sehemu ya maisha yetu hapa Bongo. Sasa huko KKKT watu wanalalamika kwenye ajira kuna hadi ukabila na ukanda, malalamiko yataishaje kwa hali hiyo?
 
Mbona povu sana Malasusa kaharibu kanisa na taasisi zake.

Acheni kumtetea chawa wa sisiemu huyo.
 
Mkuu Huyu mwamba kama unakula nae sahau kuhamishanaaaaa

Shidaaaa mgomee mahitaji yakee aisee ana hasira za gafla uliza wachungaji wakina mastahi na kimaro wa kinitonyama

Yyaan alihitisha kikao siku moja maamuzi siku moja wahamishwe hahahaa akakutana na wanaume wana maisha wanapesa wamejipangaa kwa lolote

Waumini wakasema usitutanie Mh ukuu wako n huko haya makanisa kama sio hawa tusingekuja wakabeba special hire 8 zikatings ofisini

Wakajifungia wakaapa hawatoki alale huko wewee mbona alirudi down akaaomba wachache waongee nae wakamwambia bila barua ya utenguzi wa barua yakoo hatutoki hapa ba pale kimara kanisan patageuka sehemu ya makaburi tutavunja kila kitu

Mkuu akaona isiwe tabu hahaha ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜„ โ™ฅ๏ธ

Kijitonyama nao wakaamka ujinga hatutaki wakaanza kusali nje wakampelekea memo arudi ama wasione mtu hapa ndan akakosea kupeleka mapolisi walinde kanisa weee moto wake ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ akatangaza msamaaha fasta ana kisasi balaa ukigoma kula nae
 
Umepotosha sana. Sio vizuri kuongea uongo. Mastahi hajawahi kusumbuliwa na hata Suala la Kimaro , ni Kimaro mwenyewe aliomba radhi hadharani kanisani mbelel ya Malasusa ndipo akasamehewa.
 
Huyo Prof .. ni mtu poa sana ..... Labda kama Malasusa amepeleka pesa kwenye mambo ya ccm!!. Malasusa aliwahi kufeli huko nyuma sema waafrika tu wapuuzi... Unamuacha Bagonza unamchagua Malasusa๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
Bora na wewe ukasomee Theologia uwe Mchungaji halafu uchaguliลตe uaskofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ