🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏Mama anawatoa nnyaa si mchezo. Iko hivi, aliyepandishwa na Mungu kamwe hawezi kushushwa na mashetani........mkashifuni kwa kashfa zozote mzitakazo lakini milele atabaki mbele yenu kwa miaka 10000. Historia ameshaiandika na anaendelea kuiandika.
Hivi huyu mama alitokea wapi mpaka akafika hapo alipo?
Matusi ndo kitu mmejaliwa.Babako aliona nini kwa mamako hadi akamtia mimba ukazaliwa wewe mwanaharamu?
Matusi ndo kitu mmejaliwa.
Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.Siasa zimekuwa za kishabiki zaidi badala ya uhalisia! Jambo ambalo ni hatari kwa nchi, tofauti na nchi za demokrasia ya kweli kama Kenya na Marekani ambapo chama si muhimu kuliko mgombea mwenyewe!
Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!
Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
Swali ni alitokea wapi na siyo alipitia wapi,rudia kujibu Steve Nyerere a.k.a tivu akeAmekuwa Waziri kwa miaka 10
Kabla ya hapo amefanya kazi UN kwa miaka zaidi ya 10
Wanamponda Mama humu hawajawai kupata cheo hata cha ujumbe wa mtaa.
Hawajawai kufanya kazi hata ya u teller wa bank.
Ila wanamkashifu Mama samia
Swali ni alitokea wapi na siyo alipitia wapi,rudia kujibu Steve Nyerere a.k.a tivu ake
...'Bado kuna watu watajitoa akili'...Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.
Siasa zimekuwa za kishabiki zaidi badala ya uhalisia! Jambo ambalo ni hatari kwa nchi, tofauti na nchi za demokrasia ya kweli kama Kenya na Marekani ambapo chama si muhimu kuliko mgombea mwenyewe!
Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!
Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
Nimeona niseme. Huenda, kama ulivyosema, hawafikii hao uliowataja kwa elimu kwani wao ni PHD holders, lakini uongozi hapa kwetu haupatikani kwa kuwa na PHD tu, bali kuna na vigezo vingine. Nikukumbshe tu hapa Tanzani miongoni mwa marais sita waliotawala, ni mmoj tu alikuwa na PHD. Jikumbushe.Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!
Naona umeandika kijinga (ignorantly). Sikulaumu kwa kutojua kwani wewe ni mvivu wa kufikiri. Sasa nikukumbushe tu kwamba huyu mama alishawahi kuwa waziri katika JMT na SMZ. Mara ya mwisho alikuwa waziri katika ofisi ya makamu wa rais wa JMT.Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Ni kweli unayoyasema, sasa tujadili kwa haki bila upendeleo wala chuki.Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
Shida ni elimu yetu na quality yake.Nimeona niseme. Huenda, kama ulivyosema, hawafikii hao uliowataja kwa elimu kwani wao ni PHD holders, lakini uongozi hapa kwetu haupatikani kwa kuwa na PHD tu, bali kuna na vigezo vingine. Nikukumbshe tu hapa Tanzani miongoni mwa marais sita waliotawala, ni mmoj tu alikuwa na PHD. Jikumbushe.
Mama, nikukumbudshe, amepata nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri na haina uhusiano na Uzanzibari.
Naona umeandika kijinga (ignorantly). Sikulaumu kwa kutojua kwani wewe ni mvivu wa kufikiri. Sasa nikukumbushe tu kwamba huyu mama alishawahi kuwa waziri katika JMT na SMZ. Mara ya mwisho alikuwa waziri katika ofisi ya makamu wa rais wa JMT.
Ama kuhusu kuwa hii ni awamu mbovu, huenda hujui tafsiri ya mbovu. Nakutonya tu kwamba huyu ndiye aliyemalizia ujenzi wa SGR na daraja lile la Kigongo - Busisi. Huwa unajivunia kwayo. Sitaki niseme mengi kwenye hili kwani kila kitu kinaonekana.
Ni kweli unayoyasema, sasa tujadili kwa haki bila upendeleo wala chuki.
Acha chuki zako, Dr. Samia Suluhu Hassan ana akili kubwa sana!Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.
Siasa zimekuwa za kishabiki zaidi badala ya uhalisia! Jambo ambalo ni hatari kwa nchi, tofauti na nchi za demokrasia ya kweli kama Kenya na Marekani ambapo chama si muhimu kuliko mgombea mwenyewe!
Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!
Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
Mkuu sijadhani; nilikuwa nachangia uzi uliojenga hoja ya kwamba kuna degree holders ambao wangepaswa kuwa marais tofauti na mama, hivyo mama yeye hakustahiki ila kaupata urais kwa Uzanzibari wake.Kwanini udhani mtu mwenye PhD hasa ya social science anaulewa mpana kuliko mwenye bachelor.
Huwezi kukuta mahala popote naandika ujinga huo wa maneno unayotaka kuniwekea.Mkuu sijadhani; nilikuwa nachangia uzi uliojenga hoja ya kwamba kuna degree holders ambao wangepaswa kuwa marais tofauti na mama, hivyo mama yeye hakustahiki ila kaupata urais kwa Uzanzibari wake.
Sijajadili ubora wa elimu.
Huyo mary nagu amefanya kitu gani cha maana kwenye nchi hii au Asha rose migiro japo alikuwa naibu katibu mkuu umoja wa mataifa amefanya nini cha maana?Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.