Dr Ayoub Rioba, afanye exclusive interview na Pascali Mayala, sio hao Watoto!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai,
Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na Sensitive. Anajiona anashusha pointi kwakuwa anayeongea naye ni vijana wake bila shaka aliowafundisha Dsj au kwingineko
Ameshika nafasi Nyeti katika Taifa,ili tujiridhishe kuwa yupo Objective na anataka kuweka kumbukumbu sawa,Aongee na Wanahabari Wasioegemea popote kama Pascali, Jenerali Ulimwengu etc,Critical Analyst
Mr Rioba,tutendee haki ongeq na Watu Mahili sio Watoto/ vijana Wadogo wasio na hazina ya uzoefu na kuwa tested.
 
kwahiyo haya maelezo ni ya mtu mzima kabisa, tena anaejipiga kifua kabisa kua ni muerevu na kuwaita wanahabari chipkizi watoto?

dah,
hii ni maajabu 🐒
 
Mtoe Mayalla kwenye orodha..hana ishu siku hizi..njaa imemuvuruga..amekuwa mtu wa kujikomba kwa Ma-CCM mno.
Fuatilia hata thread zake hapa JF..Ni Utukufu kwa CCM in full.
 
kwahiyo haya maelezo ni ya mtu mzima kabisa, tena anaejipiga kifua kabisa kua ni muerevu na kuwaita wanahabari chipkizi watoto?

dah,
hii ni maajabu 🐒
Hata ukiniambia jina la huyo Mwanahabari,sijawahi sikia! Hard talk interview,hafanyi kila Mwanahabari,Wako watu Mahiri kwenye kazi hizo, Pale Mr Rioba ame dominate interview anajiona ana ongea point kwa kulingana na mtu anaye mhoji,anammudu!
 
si taratibu ndio watakua akina akina mwalimu P.Mayalla wa baadae?

mie nadhani hata akina Lary King sisi wengine tumewajua wakati wa uzee wao kabisa, pengine nao walianzia huku huku chini kama ambavyo huyo Charles William anavyojaribu kuja juu taratibu kwa kuwaalika manguli wa tasnia mbalimbali kwenye kipindi chake cha One on One pale wasafi media.

Ni muhimu sana kuwatia moyo,
in fact hata kuwakosoa ni kuwajenga pia but tusiwatishe sana 🐒
 
..labda aongee na yule kijana wa The Chanzo, au jamaa wa Jambo Tv.

..Ayoub Rioba anasema Tanzania inahitaji Dikteta, lakini anasahau kwamba hata huu mfumo wa sasa hivi ni Udikteta.

..Na Afrika imefika hapa ilipo kwasababu ya Madikteta wa huko awali kama Iddi Amini, Mobutu Sese Seko, Jean Bokassa, Nguema, na wengine wengi.

..Kwa maoni yangu mtiririko wa mawazo wa Dr.Ryoba una walakiki na watu waliomhoji mpaka sasa hivi wameshindwa kumuelekeza vizuri. Lakini pia unaweza kuwatetea waandishi kwamba hilo halikuwa jukumu lao.
 
Huyo kijana yuko vizuri sana

Ova
 
Yes angehojiwa na yule wa Jambo mwenye weledi. Rioba amejichanganya sana kama kungekuwa na mwandishi makini angembana. Mfano, anasema watoto wafundishwe critical thinking bila kuongelea Wahadhiri wanavyofungwa vyuo vikuu.

Masuala mengi aliyohojiwa yanahitaji mtu mwenye background nzuri ya masuala ya kitaifa na kimataifa. Huyu wa Wasafi siku zote anaboronga, kazi yake ni kusikiliza na ''kujiufunza''. Alipomhoji OMO wa ACT ni yale yale
Unaona ombwe kubwa la ufahamu wa mwandishi linalomfanya anayehojiwa aonekane nguli. Nadhani ndio maana wanapenda kuhojiwa naye.
 
..Na Afrika imefika hapa ilipo kwasababu ya Madikteta wa huko awali kama Iddi Amini, Mobutu Sese Seko, Jean Bokassa, Nguema, na wengine wengi.

..Kwa maoni yangu mtiririko wa mawazo wa Dr.Ryoba una walakiki na watu waliomhoji mpaka sasa hivi wameshindwa kumuelekeza vizuri. Lakini pia unaweza kuwatetea waandishi kwamba hilo halikuwa jukumu lao.
Anasema ili nchi iendelee haitakiwi kuwa na Demokrasi ya kubadili viongozi. Botswana wamewezaje.
Akatolea mfano wa Zambia na Kenya. Kwanza , Kenya haipo katika nchi 25 masikini kama sisi. Pili Zambia miaka michache Kwacha ilikuwa haina thamani leo sivyo. Mifano mingi tu ipo

Riona anasema kunahtajika chama kimoja kwa muda mrefu bila kujua CCM ipo miaka 60!

Rioba angekutana na Khalifa sijui ! kampata yule wa Wasafi eti mwandishi ''amejifunza'' hata kama alidanganywa
Sijui jina lake ni nani lakini ni substandard katika uandishi
 
Tatizo la waandishi wa Tanzania hawana maswali chokonozi.

Unakuta mgeni ni mtu potential mno ila maswali yanayoulizwa hayapelekei wasikilizaji/ watazamaji kupata chochote.

Wanauliza mambo too general.
 
Hiki ni kituko wakutane CHAWA na MSAKATONGE.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Tatizo la waandishi wa Tanzania hawana maswali chokonozi.

Unakuta mgeni ni mtu potential mno ila maswali yanayoulizwa hayapelekei wasikilizaji/ watazamaji kupata chochote.

Wanauliza mambo too general.

..umepatia 100%

..pia hawafahamu wakati gani wamuache wanayemhoji atiririke, na wakati gani wamkatize.

..kuna wakati wanayemhoji ni mtu nyeti, na ameanza kufunguka ktk maelezo yake, lakini ghafla muandishi anamkatiza na swali la kipuuzi.

..kuhusu maswali chokonozi, au ya nyongeza, muandishi anatakiwa awe mueledi, au amejiandaa kuhusu mada husika.
 
Umeanzaje kumuamini Mayalla?
Ile kwamba Paskali ni CCM,bado rekodi yake ya kuhoji Mambo Magumu na ufahamu Mkubwa wa katiba,Sheria.vinampa nafasi kubwa.Amewahi Muuliza Rais akashindwa kujibu Swali,Wabunge nao Waliishia kumhoji na kumpa vitisho. Pia ni Mkweli,hauzi utu wake,asingekuwa nasisi humu miaka yote
 
Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai,
Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na Sensitive. Anajiona anashusha pointi kwakuwa anayeongea naye ni vijana wake bila shaka aliowafundisha Dsj au kwingineko
Ameshika nafasi Nyeti katika Taifa,ili tujiridhishe kuwa yupo Objective na anataka kuweka kumbukumbu sawa,Aongee na Wanahabari Wasioegemea popote kama Pascali, Jenerali Ulimwengu etc,Critical Analyst
Mr Rioba,tutendee haki ongeq na Watu Mahili sio Watoto/ vijana Wadogo wasio na hazina ya uzoefu na kuwa tested.
Au yule jamaa wa The Chanzo, ndugu Khalifa
 
Back
Top Bottom