kwahiyo haya maelezo ni ya mtu mzima kabisa, tena anaejipiga kifua kabisa kua ni muerevu na kuwaita wanahabari chipkizi watoto?Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai,
Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na Sensitive. Anajiona anashusha pointi kwakuwa anayeongea naye ni vijana wake bila shaka aliowafundisha Dsj au kwingineko
Ameshika nafasi Nyeti katika Taifa,ili tujiridhishe kuwa yupo Objective na anataka kuweka kumbukumbu sawa,Aongee na Wanahabari Wasioegemea popote kama Pascali, Jenerali Ulimwengu etc,Critical Analyst
Mr Rioba,tutendee haki ongeq na Watu Mahili sio Watoto/ vijana Wadogo wasio na hazina ya uzoefu na kuwa tested.
Hata ukiniambia jina la huyo Mwanahabari,sijawahi sikia! Hard talk interview,hafanyi kila Mwanahabari,Wako watu Mahiri kwenye kazi hizo, Pale Mr Rioba ame dominate interview anajiona ana ongea point kwa kulingana na mtu anaye mhoji,anammudu!kwahiyo haya maelezo ni ya mtu mzima kabisa, tena anaejipiga kifua kabisa kua ni muerevu na kuwaita wanahabari chipkizi watoto?
dah,
hii ni maajabu 🐒
si taratibu ndio watakua akina akina mwalimu P.Mayalla wa baadae?Hata ukiniambia jina la huyo Mwanahabari,sijawahi sikia! Hard talk interview,hafanyi kila Mwanahabari,Wako watu Mahiri kwenye kazi hizo, Pale Mr Rioba ame dominate interview anajiona ana ongea point kwa kulingana na mtu anaye mhoji,anammudu!
Kuna kijana wa kuitwa said KhalifaUmeanzaje kumuamini Mayalla?
Huyo kijana yuko vizuri sana..labda aongee na yule kijana wa The Chanzo, au jamaa wa Jambo Tv.
..Ayoub Rioba anasema Tanzania inahitaji Dikteta, lakini anasahau kwamba hata huu mfumo wa sasa hivi ni Udikteta.
..Na Afrika imefika hapa ilipo kwasababu ya Madikteta wa huko awali kama Iddi Amini, Mobutu Sese Seko, Jean Bokassa, Nguema, na wengine wengi.
..Kwa maoni yangu mtiririko wa mawazo wa Dr.Ryoba una walakiki na watu waliomhoji mpaka sasa hivi wameshindwa kumuelekeza vizuri. Lakini pia unaweza kuwatetea waandishi kwamba hilo halikuwa jukumu lao.
Yes angehojiwa na yule wa Jambo mwenye weledi. Rioba amejichanganya sana kama kungekuwa na mwandishi makini angembana. Mfano, anasema watoto wafundishwe critical thinking bila kuongelea Wahadhiri wanavyofungwa vyuo vikuu...labda aongee na yule kijana wa The Chanzo, au jamaa wa Jambo Tv.
..Ayoub Rioba anasema Tanzania inahitaji Dikteta, lakini anasahau kwamba hata huu mfumo wa sasa hivi ni Udikteta.
..Na Afrika imefika hapa ilipo kwasababu ya Madikteta wa huko awali kama Iddi Amini, Mobutu Sese Seko, Jean Bokassa, Nguema, na wengine wengi.
..Kwa maoni yangu mtiririko wa mawazo wa Dr.Ryoba una walakiki na watu waliomhoji mpaka sasa hivi wameshindwa kumuelekeza vizuri. Lakini pia unaweza kuwatetea waandishi kwamba hilo halikuwa jukumu lao.
Anasema ili nchi iendelee haitakiwi kuwa na Demokrasi ya kubadili viongozi. Botswana wamewezaje...Na Afrika imefika hapa ilipo kwasababu ya Madikteta wa huko awali kama Iddi Amini, Mobutu Sese Seko, Jean Bokassa, Nguema, na wengine wengi.
..Kwa maoni yangu mtiririko wa mawazo wa Dr.Ryoba una walakiki na watu waliomhoji mpaka sasa hivi wameshindwa kumuelekeza vizuri. Lakini pia unaweza kuwatetea waandishi kwamba hilo halikuwa jukumu lao.
Tatizo la waandishi wa Tanzania hawana maswali chokonozi.
Unakuta mgeni ni mtu potential mno ila maswali yanayoulizwa hayapelekei wasikilizaji/ watazamaji kupata chochote.
Wanauliza mambo too general.
Ile kwamba Paskali ni CCM,bado rekodi yake ya kuhoji Mambo Magumu na ufahamu Mkubwa wa katiba,Sheria.vinampa nafasi kubwa.Amewahi Muuliza Rais akashindwa kujibu Swali,Wabunge nao Waliishia kumhoji na kumpa vitisho. Pia ni Mkweli,hauzi utu wake,asingekuwa nasisi humu miaka yoteUmeanzaje kumuamini Mayalla?
Au yule jamaa wa The Chanzo, ndugu KhalifaMkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai,