DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama jamiiforums.

Ukipasua pipa sisi tunawasha kiberiti. Moto ni moto na kiberiti ni kiberiti, na pipa ni pipa mura.

Waendelee kutugusa na sisi kunuka ni jadi yetu na ndio yetu.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Mods kindly naomba hii thread ihamie kwenye jukwaa la habari mchanganyiko 🙏🙏🙏
 
Kuna nini?
Ila jana nilimuona kapungua na mashavu yamevimba
 
Kwani kasema vibaya kwamba JF ni media na siyo social media?
 
Back
Top Bottom