Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Video
Haya karibuni kwa mjadala.
Haya karibuni kwa mjadala.
😂😂😂😂 Ni Dr Babishomba, maelezo zaidi mtafute mitandaoni kwa hilo jina.huyu jamaa ni nani kwani?
Kwani afrika dini hazipo? Dini ni mfumo wa imani, mafundisho na ibada unaomwunganisha mwanadamu na nguvu za kiroho. Afrika walikua na dini zao za asili ambazo mpaka sasa zipo. Ndio hizo za kuchunja wanyama na kutoa kafara. Kama dini ya mzungu haina kafara ya mnyama au ndugu yako kwanini mwanadam asiifuate.Bora Dini isingeletwa Africa tungekua na Afya ya Akili.
Mzungu fundi sana
Zimesaidia sana kutoa ujinga. Zamani kulikuwa na mambo ya ajabu sana.Bora Dini isingeletwa Africa tungekua na Afya ya Akili.
Mzungu fundi sana
title wanazowekaga kwenye video zake huwa sizielewi ni comedian au yupo serious?😂😂😂😂 Ni Dr Babishomba, maelezo zaidi mtafute mitandaoni kwa hilo jina.
😂😂😂 yupo serious ila naona kaamua kutoa elimu ya afya kwa kuwetoa Title za comedy kisha kulielezea jambo lilivyo kisayansi.title wanazowekaga kwenye video zake huwa sizielewi ni comedian au yupo serious?
sijawai mcheki hata hii video nilivofungua na kuona sura yake nikatoka - --- zile title zinakuaga za ajabu sana aisee 😁😂😂😂 yupo serious ila naona kaamua kutoa elimu ya afya kwa kuwetoa Title za comedy kisha kulielezea jambo lilivyo kisayansi.
😂😂😂😂😂sijawai mcheki hata hii video nilivofungua na kuona sura yake nikatoka - --- zile title zinakuaga za ajabu sana aisee 😁
Thibitisha usahihi wakeYupo sahihi 100%