Dr Babishomba: mtu akisema hakuna mungu, kuna nati zimelegea kichwani mwake.

Bora Dini isingeletwa Africa tungekua na Afya ya Akili.

Mzungu fundi sana
Kwani afrika dini hazipo? Dini ni mfumo wa imani, mafundisho na ibada unaomwunganisha mwanadamu na nguvu za kiroho. Afrika walikua na dini zao za asili ambazo mpaka sasa zipo. Ndio hizo za kuchunja wanyama na kutoa kafara. Kama dini ya mzungu haina kafara ya mnyama au ndugu yako kwanini mwanadam asiifuate.
 
title wanazowekaga kwenye video zake huwa sizielewi ni comedian au yupo serious?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yupo serious ila naona kaamua kutoa elimu ya afya kwa kuwetoa Title za comedy kisha kulielezea jambo lilivyo kisayansi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yupo serious ila naona kaamua kutoa elimu ya afya kwa kuwetoa Title za comedy kisha kulielezea jambo lilivyo kisayansi.
sijawai mcheki hata hii video nilivofungua na kuona sura yake nikatoka - --- zile title zinakuaga za ajabu sana aisee 😁
 
Mtu akisema Mungu yupo ila akishindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu kuna nati zimechomoka kabisa

Naukiangalia huyo Mungu kwa uwezo wake unaodaiwa nani kamtengeneza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…