Dr. Bashiru Ally: CCM ni chama kinachoongoza kufanya siasa safi za kiungwana na kiustaarabu kitashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

CCM YAAHIDI KUENDELEA KUHESHIMU MAAMUZI YA UMMA

02 Januari, 2020

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019.

Dkt. Bashiru ameeleza kuwa, CCM itakuwa mfano katika kuheshimu uamuzi wa umma katika uchaguzi, na CCM itashinda kwa kura nyingi kwa kuwa, zipo sababu nyingi za kuaminiwa na umma.

Dkt. Bashiru ameyasema hayo leo Januari 02, 2020 wakati akitoa salamu za mwaka mpya 2020 katika mkutano wa ndani wa wenyeviti wa mitaa na vijiji wilaya ya Bukoba mkoani Kagera.

“CCM inatoa salam za mwaka mpya 2020, niwahakikishie wananchi wote wa Tanzania, mwaka huu tutaongoza siasa safi, na ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maoni na uamuzi wa Umma, na itashinda kwa kishindo kwa kuwa wananchi walihitaji huduma ya maji sasa wanapata, walihitaji elimu bure sasa wanapata, walihitaji huduma za afya sasa wanapata na zingine nyingi, na siku zote wananchi sio wanafiki."

Aidha ameongeza kuwa, Wapo watu wanalilia tume huru iwasaidie kupata ushindi, bila kufahamu kuwa, Tume huru haipigi kura bali inasimamia uchaguzi, kama chama hakina wapiga kura kisitegemee Tume iwape ushindi, CCM imewatafuta wapiga kura kwa kuwasomesha watoto bure, kutoa mikopo kwa wanafunzi, kujenga vituo vya afya, kusambaza maji, kujenga barabara, sasa wao waseme hao wapiga kura wamewapata kwa njia zipi kama ambavyo CCM inajipambanua.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu ameeleza msimamo wa CCM kuendelea kutetea haki za watu wote bila kujali jinsia, rika, dini wala kabila, ambapo akifafanua hilo amesema,

“CCM inapingana na udharirishaji ambao mara nyingi unajitokeza katika Uchaguzi Mkuu, wanawake kabla ya kugombea wanaitwa majembe lakini wakichukua fomu za kugombea wanaanza kuchimbwa na kuwekewa kashfa nyingi, wanajazwa hofu na wanaogopa, awamu hii CCM haitakubali wanawake wadhalilishwe na haki ni lazima itendeke kwa wote.’’

Awali akimakaribisha Katibu Mkuu, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Bi. Costancia Buhiye amesisitiza zaidi umoja na mshikamo ndani Chama ambapo Katibu wa CCM wa Mkoa huo Ndg. Michael Chonya akisisitiza umuhimu wa viongozi kusikiliza na kutatua kero za watu.

Katibu Mkuu yupo Bukoba mkoani Kagera kwa mapumziko ya siku kumi ambapo anatarajiwa kumaliza mapumziko hayo mwanzoni mwa mwezi Januari, 2020.
Tuna subiri muweke mpira kwapani kama serikali z mitaa.. Hivi kma mnjiamini kwanini mna watumia sana vyombo vya usalama na wakurugenzi?
Kwanini mnaogopa tume huru ya uchaguzi yenye kushirikisha vyama vya upinzani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uungwana tunguona kwenye uhusika wao kudai uundwaji tume huru.

Na kweli Bashiru kama Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyofanyika ni lazima Mtashinda tena kwa Asilimia 400%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANI KAMPENI TAYARI?

MBONA UPANDE MMOJA TU? WENZETU JE
SI UMEONA JUZI TU HAPA MNYIKA KAENDA KUSALIMIA TU KWAO MWANZA AKAANZA KUSAKWA KILA KONA NA WASAIDIZI WAKE WOTE WAKAKAMATWA NA KUSWEKWA MAHABUSU. LAKINI BASHIRU NA GENGE LAKE WANAZURURA WATAKAVYO NA MISARE YAO YA ISHARA YA NJAA NA MATESO.
 
Yako maeneo viongozi Wa ccm wanapeleka majina tume ,kwa ajili ya kuwa waandikishaji wapiga kura kwa BVR...yaani hii tume Ni tawi la ccm full
 
Acha utoto dogo, uoga unaamanisha wafanye siasa wakiwa wanapigwa mabomu?
Sasa kama mwanasiasa anaogopa mabomu ya machozi si bora aachane na siasa.
Aje awe mpiga deal kama mimi
 
Wanapelekewa 'FARU' kila wakitaka kukutana..inapaswa kuweka mizani sawa ili washindwe kihalali.
ushindi wa 1-0 wa haki ni mtamu kuliko 7-0 wa kupendelewa
Tatizo viongozi wa upinzani waoga sana ndio maana wanachezewa chezewa
 
CCM YAAHIDI KUENDELEA KUHESHIMU MAAMUZI YA UMMA

02 Januari, 2020

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019.

Dkt. Bashiru ameeleza kuwa, CCM itakuwa mfano katika kuheshimu uamuzi wa umma katika uchaguzi, na CCM itashinda kwa kura nyingi kwa kuwa, zipo sababu nyingi za kuaminiwa na umma.

Dkt. Bashiru ameyasema hayo leo Januari 02, 2020 wakati akitoa salamu za mwaka mpya 2020 katika mkutano wa ndani wa wenyeviti wa mitaa na vijiji wilaya ya Bukoba mkoani Kagera.

“CCM inatoa salam za mwaka mpya 2020, niwahakikishie wananchi wote wa Tanzania, mwaka huu tutaongoza siasa safi, na ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maoni na uamuzi wa Umma, na itashinda kwa kishindo kwa kuwa wananchi walihitaji huduma ya maji sasa wanapata, walihitaji elimu bure sasa wanapata, walihitaji huduma za afya sasa wanapata na zingine nyingi, na siku zote wananchi sio wanafiki."

Aidha ameongeza kuwa, Wapo watu wanalilia tume huru iwasaidie kupata ushindi, bila kufahamu kuwa, Tume huru haipigi kura bali inasimamia uchaguzi, kama chama hakina wapiga kura kisitegemee Tume iwape ushindi, CCM imewatafuta wapiga kura kwa kuwasomesha watoto bure, kutoa mikopo kwa wanafunzi, kujenga vituo vya afya, kusambaza maji, kujenga barabara, sasa wao waseme hao wapiga kura wamewapata kwa njia zipi kama ambavyo CCM inajipambanua.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu ameeleza msimamo wa CCM kuendelea kutetea haki za watu wote bila kujali jinsia, rika, dini wala kabila, ambapo akifafanua hilo amesema,

“CCM inapingana na udharirishaji ambao mara nyingi unajitokeza katika Uchaguzi Mkuu, wanawake kabla ya kugombea wanaitwa majembe lakini wakichukua fomu za kugombea wanaanza kuchimbwa na kuwekewa kashfa nyingi, wanajazwa hofu na wanaogopa, awamu hii CCM haitakubali wanawake wadhalilishwe na haki ni lazima itendeke kwa wote.’’

Awali akimakaribisha Katibu Mkuu, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Bi. Costancia Buhiye amesisitiza zaidi umoja na mshikamo ndani Chama ambapo Katibu wa CCM wa Mkoa huo Ndg. Michael Chonya akisisitiza umuhimu wa viongozi kusikiliza na kutatua kero za watu.

Katibu Mkuu yupo Bukoba mkoani Kagera kwa mapumziko ya siku kumi ambapo anatarajiwa kumaliza mapumziko hayo mwanzoni mwa mwezi Januari, 2020.
CCM ipi anayoisema huyu Bashiru ?
2183704_IMG_1183.jpg
 
Back
Top Bottom