Dr. Bashiru Ally: CCM ni chama kinachoongoza kufanya siasa safi za kiungwana na kiustaarabu kitashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

Tuna subiri muweke mpira kwapani kama serikali z mitaa.. Hivi kma mnjiamini kwanini mna watumia sana vyombo vya usalama na wakurugenzi?
Kwanini mnaogopa tume huru ya uchaguzi yenye kushirikisha vyama vya upinzani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uungwana tunguona kwenye uhusika wao kudai uundwaji tume huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli Bashiru kama Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyofanyika ni lazima Mtashinda tena kwa Asilimia 400%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANI KAMPENI TAYARI?

MBONA UPANDE MMOJA TU? WENZETU JE
SI UMEONA JUZI TU HAPA MNYIKA KAENDA KUSALIMIA TU KWAO MWANZA AKAANZA KUSAKWA KILA KONA NA WASAIDIZI WAKE WOTE WAKAKAMATWA NA KUSWEKWA MAHABUSU. LAKINI BASHIRU NA GENGE LAKE WANAZURURA WATAKAVYO NA MISARE YAO YA ISHARA YA NJAA NA MATESO.
 
Yako maeneo viongozi Wa ccm wanapeleka majina tume ,kwa ajili ya kuwa waandikishaji wapiga kura kwa BVR...yaani hii tume Ni tawi la ccm full
 
Acha utoto dogo, uoga unaamanisha wafanye siasa wakiwa wanapigwa mabomu?
Sasa kama mwanasiasa anaogopa mabomu ya machozi si bora aachane na siasa.
Aje awe mpiga deal kama mimi
 
Wanapelekewa 'FARU' kila wakitaka kukutana..inapaswa kuweka mizani sawa ili washindwe kihalali.
ushindi wa 1-0 wa haki ni mtamu kuliko 7-0 wa kupendelewa
Tatizo viongozi wa upinzani waoga sana ndio maana wanachezewa chezewa
 
CCM ipi anayoisema huyu Bashiru ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…