Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
unawezaje kumuogopa mwanasiasa mchanga kama huyu ?Chadema mnamuogopa sana Dr Bashiru na komredi Polepole.
Subirini muziki wao 2020!
Labda nyieChadema mnamuogopa sana Dr Bashiru na komredi Polepole.
Subirini muziki wao 2020!
Pamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!unawezaje kumuogopa mwanasiasa mchanga kama huyu ?
Pengine wewe ni mchanga katika siasa za ndani yavCCM.Labda nyie
Ova
Bashiru bado kinachomsaidia ni ubabe wa mteuzi wake. Ni mitulinga lakini akili kidogo. Hana tofauti na makamba baba, thinking capacity was very very low! Kinachowasaidia ni nguvu ya dola!Chadema mnamuogopa sana Dr Bashiru na komredi Polepole.
Subirini muziki wao 2020!
kutumia hela ya umma kununua binadamu hakujawahi kuwa sifa kwa mtu yeyote , achilia chama cha siasa , bali hilo ni jambo la aibu kuuPamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!
Dr Bashiru anatumia zaidi sayansi ya siasa ndio maana Ufipa inafutika kwenye ramani ya siasa za Tanzania.Bashiru bado kinachomsaidia ni ubabe wa mteuzi wake. Ni mitulinga lakini akili kidogo. Hana tofauti na makamba baba, thinking capacity was very very low! Kinachowasaidia ni nguvu ya dola!
Kwa kuwanunua?Pamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!
Mh, sasa policcm ya nini kama kuna political science from Bashiru!. Kukataza mikutano, kuzuia hata mikutano ya ndani etc, etc, etc, etc, etc! John nilishakwambia kuwa nilikuwa nakufikiri kama somebodyreasonable amng Lumumba , kumbe na wewe ni hao hao!Dr Bashiru anatumia zaidi sayansi ya siasa ndio maana Ufipa inafutika kwenye ramani ya siasa za Tanzania.
Kilichowakimbiza wabunge wenu ni;kutumia hela ya umma kununua binadamu hakujawahi kuwa sifa kwa mtu yeyote , achilia chama cha siasa , bali hilo ni jambo la aibu kuu
Akirudi kujibu nistue mkuuMh, sasa policcm ya nini kama kuna political science from Bashiru!. Kukataza mikutano, kuzuia hata mikutano ya ndani etc, etc, etc, etc, etc! John nilishakwambia kuwa nilikuwa nakufikiri kama somebodyreasonable amng Lumumba , kumbe na wewe ni hao hao!
Unadhani ukiweka equal political environment na CDM mtaambulia hata mtaa mmoja?
Kuchauka na Mtolea nao kimewakimbiza nini ? ukiwa muongo usiwe Msahaulifu .Kilichowakimbiza wabunge wenu ni;
500,000 x 12 x 5 = 30,000,000
Nadhani umenielewa!
Katika mazingira ya sasa Chadema wamepoteza ushawishi kwa wananchi kwa sababu kile kilichowapa umaarufu ndio hicho kinachompa umaarufu Rais Magufuli namaanisha vita dhidi ya rushwa na ufisadi.Mh, sasa policcm ya nini kama kuna political science from Bashiru!. Kukataza mikutano, kuzuia hata mikutano ya ndani etc, etc, etc, etc, etc! John nilishakwambia kuwa nilikuwa nakufikiri kama somebodyreasonable amng Lumumba , kumbe na wewe ni hao hao!
Unadhani ukiweka equal political environment na CDM mtaambulia hata mtaa mmoja?
π π π π πambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha
Kwahiyo unakiri kuwa mlifanya biashara?[emoji23][emoji23]Kilichowakimbiza wabunge wenu ni;
500,000 x 12 x 5 = 30,000,000
Nadhani umenielewa!
Hiyo formula ya kula hela za wabunge ilipitishwa na UKAWA na Hamad Rashid wa Cuf aliikimbia mapema kabisa!Kuchauka na Mtolea nao kimewakimbiza nini ? ukiwa muongo usiwe Msahaulifu .