Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,741
- 7,679
Polepole kimwili yuko ccm lkn kiroho alishatimka kitambo. Wekeni silaha chini tupambane kwa HOJA.Chadema mnamuogopa sana Dr Bashiru na komredi Polepole.
Subirini muziki wao 2020!
Polepole kimwili yuko ccm lkn kiroho alishatimka kitambo. Wekeni silaha chini tupambane kwa HOJA.Chadema mnamuogopa sana Dr Bashiru na komredi Polepole.
Subirini muziki wao 2020!
1.5T?????????Katika mazingira ya sasa Chadema wamepoteza ushawishi kwa wananchi kwa sababu kile kilichowapa umaarufu ndio hicho kinachompa umaarufu Rais Magufuli namaanisha vita dhidi ya rushwa na ufisadi.
Tena Dr Magufuli ameenda mbali zaidi kwa kuweka ulinzi wa rasilimali zetu na kuwapa mrejesho wa keki ya taifa wananchi wanyonge!
Kama hujasoma unachangia nini ?Sijasoma. Ila swali wewe mkuu Ni CHadema au ACT. Sasa Inakuwaje Tena Una interest na mambo ya jirani. Jenga kwanza nyumbani na sio humu mitandaoni.
Hivi mtu wa mbali ataijuaje CHadema au Act. Kama nyie wadau hamuandiki juu yake. Mnafeli wapi. Mwenye akili anajua kabisa kama siku Mfano Ndege inaingia Tz. Then wewe unaandika kupinga jambo. It’s obvious that wewe ndo mwenye Shida. Pole sana. Kuna Ndege inaingia huko Tz embu nendeni.
Ubongo wako uliuza au ulitolewa tu ukatupwa mkuuPamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!