Dr. Bashiru, CCM ilipasuka 2015, hutaweza kuiunganisha kwa kukumbatia wasaliti

Chadema ya Mashinji ina jukwaa?!......mnazidiwa hata na yule mzushi wa ujiji!
una siku chache sana kabla sijakuweka kwenye ignore list , hivi siku tukilipa kisasi mtamlilia nani nyinyi masikini ?
FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Pamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!
Kwa hili napinga, bashiru ameweka rekodi ya kununua wabunge Na madiwani Wa upinzani.tangu ccm ianzishwe hakukuwahi kutokea chama kununua viongozi Wa upinzani kama ccm hii ya sasa mkuu.hiyo hata wanaccm Wa kawaida wanasema huku mtaani.
 
Ccm kila mtanzania anaijua, awe mwanaccm au asiyemwana ccm.kwa maana Ni chama tawala
Mkuu, CCM wanakunyima usingizi sana eee, wewe tota lini umeijua CCM kiundani hivi? Bashiru umeanza kumfahamu lini? Pole sana, ila naona taratibu umeanza kuelewa somo
 
una siku chache sana kabla sijakuweka kwenye ignore list , hivi siku tukilipa kisasi mtamlilia nani nyinyi masikini ?
View attachment 1241067
Ngao ya ccm Ni polis, nimemsikiliza mbunge Wa ubungo kuzuiwa mikutano yake Na polis inatia Huruma huku makonda Na wanaccm wenzake wanaachwa tu duh.Siku ccm ikiachwa Na vyombo vya dola kwenye siasa ipambane yenyewe ndo utakuwa mwisho wake...
 
Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika kabisa.

Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo hasa kifo cha CCM kilipoasisisiwa, ukiua chama katika ngazi ya matawi ufahamu kwamba unaua chama chote hadi juu. Kwa mfano, Mtaa wa Keko Magurumbasi A kulikuwa na kiongozi wa CCM aliyeitwa Fundi , huyu aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha serikali za mitaa kwa mizengwe, akahamia CHADEMA.

Hakugombea chochote lakini alitumika kusambaratisha kabisa CCM Kata ya Keko, ambapo katika mitaa mitano CCM iliambulia mmoja tu tena kwa wizi. Nafahamu kwamba lengo la Bashiru Ally kuagiza marudio ya uchaguzi ni kujaribu kuondoa makovu yaliyosababishwa na uonevu lakini amesahau kwamba CCM Makao Makuu ndio chanzo cha uchafu wote huu wa kuondoa michakato halali ya kura za maoni na kukumbatia Wasaliti " walionunuliwa " ama kusaliti kwa hiyari.

CCM makao makuu imesimamia kikamilifu uvunjwaji wa katiba ya chama chao ya kupiga marufuku kura za maoni ili kuwapitisha tena Wasaliti ikiwa ni masharti ya mikataba ya ununuzi, ambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha " Astaghafillulah ! wala hakuna mtu yeyote ndani ya ccm aliyelikemea hili , walishangilia na kupiga makofi mengi .

Sasa leo wanaCCM halali waliopigania chama chao kikamilifu wakati Bashiru akiwa UDSM, wakati wanaCCCM wanapambana kuinua chama wakishirikiana na Migiro na Kinana Bashiru hakuwepo wala wasaliti wake anaotaka kuwabeba hawakuwepo.

Nakuhakikishia Bashiru kwamba ukitaka kuimalizia CCM endelea kuwabeba wasaliti wako.

Itaendelea ...
Jana Katibu Mkuu wa CCM kaongea na vyombo vya habari akisisitiza misingi ya uchaguzi bora na wa haki ndani ya chama na kuamuru uchaguzi urudiwe katika maeneo ambayo kuna malalamiko mbali mbali.

Mi nadhani huyu ndiye Katibu anayejali malalamiko ya wanachama na wapiga kura na mpenda haki katika uchaguzi ndani ya chama.
Ili wapatikane wagombea sahihi watakaofaa kuingia katika mpambano na vyama vingine vya siasa.

Tabia ya kutosikiliza malalamiko ya wana chama hali hiyo imekuwa ikikigharimu sana chama miaka ya nyuma.
 
Umemaliza kiongoz
 
ilikuwaje wasaliti wliipitishwa bila kura ya maoni ?
 
Hayo ni maelewano na makubaliano ya kawaida kabisa..
..kama ambavyo Mwaka 2015 wengine walivyokubaliana kumweka pembeni kipenzi chao na kumwachia Mgeni agombee Urais nafasi ambayo ndo ya juu Kuliko hata hizi za udiwani, Ubunge..
 
Jikite kwenye mada iliyo mezani .
 
Kawachukua, au kawanunua? Kwako wewe huo ndio umeona uwezo, kweli namkumbuka Musiba" ukitaka kuwa mwana ccm lazima uwe mnafki wa kiwango Cha sgr.
Hela za manunuzi wamelipwa Chadema kufidia ile;

500,000 x 12 x 5 = 30,000,000@
 
Baadhi ya wanachama wamejiapiza kuchomoa Betri ili kulipua kibanda !!
 
unawezaje kumuogopa mwanasiasa mchanga kama huyu ?
Muulize Zitto kama Dr. Bashiru ni mchanga? Zitto alijichanganya akasema 1998 Dr alikua na akili ila sasa zimepungua, akaulizwa KWANI NILIKIA NA AKILI TANI NGAPI NA SASA ZIMEBAKI NGAPI akaona haya maji ya shingo hajarudi tena.
 
bashiru ni mchanga mno !
 
Binafsi huwa naona kama hapendi kuendekea kuongoza ni kama analazimishwa fulani maana huwa kuna maneno anaweza sema huko chamani kana kamba yeye hayupo humo kabisa
Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika kabisa.

Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo hasa kifo cha CCM kilipoasisisiwa, ukiua chama katika ngazi ya matawi ufahamu kwamba unaua chama chote hadi juu. Kwa mfano, Mtaa wa Keko Magurumbasi A kulikuwa na kiongozi wa CCM aliyeitwa Fundi , huyu aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha serikali za mitaa kwa mizengwe, akahamia CHADEMA.

Hakugombea chochote lakini alitumika kusambaratisha kabisa CCM Kata ya Keko, ambapo katika mitaa mitano CCM iliambulia mmoja tu tena kwa wizi. Nafahamu kwamba lengo la Bashiru Ally kuagiza marudio ya uchaguzi ni kujaribu kuondoa makovu yaliyosababishwa na uonevu lakini amesahau kwamba CCM Makao Makuu ndio chanzo cha uchafu wote huu wa kuondoa michakato halali ya kura za maoni na kukumbatia Wasaliti " walionunuliwa " ama kusaliti kwa hiyari.

CCM makao makuu imesimamia kikamilifu uvunjwaji wa katiba ya chama chao ya kupiga marufuku kura za maoni ili kuwapitisha tena Wasaliti ikiwa ni masharti ya mikataba ya ununuzi, ambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu Kristo na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha " Astaghafillulah ! wala hakuna mtu yeyote ndani ya ccm aliyelikemea hili , walishangilia na kupiga makofi mengi .

Sasa leo wanaCCM halali waliopigania chama chao kikamilifu wakati Bashiru akiwa UDSM, wakati wanaCCCM wanapambana kuinua chama wakishirikiana na Migiro na Kinana Bashiru hakuwepo wala wasaliti wake anaotaka kuwabeba hawakuwepo.

Nakuhakikishia Bashiru kwamba ukitaka kuimalizia CCM endelea kuwabeba wasaliti wako.

Itaendelea ...
 
Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika kabisa.

Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo hasa kifo cha CCM kilipoasisisiwa, ukiua chama katika ngazi ya matawi ufahamu kwamba unaua chama chote hadi juu. Kwa mfano, Mtaa wa Keko Magurumbasi A kulikuwa na kiongozi wa CCM aliyeitwa Fundi , huyu aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha serikali za mitaa kwa mizengwe, akahamia CHADEMA.

Hakugombea chochote lakini alitumika kusambaratisha kabisa CCM Kata ya Keko, ambapo katika mitaa mitano CCM iliambulia mmoja tu tena kwa wizi. Nafahamu kwamba lengo la Bashiru Ally kuagiza marudio ya uchaguzi ni kujaribu kuondoa makovu yaliyosababishwa na uonevu lakini amesahau kwamba CCM Makao Makuu ndio chanzo cha uchafu wote huu wa kuondoa michakato halali ya kura za maoni na kukumbatia Wasaliti " walionunuliwa " ama kusaliti kwa hiyari.

CCM makao makuu imesimamia kikamilifu uvunjwaji wa katiba ya chama chao ya kupiga marufuku kura za maoni ili kuwapitisha tena Wasaliti ikiwa ni masharti ya mikataba ya ununuzi, ambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu Kristo na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha " Astaghafillulah ! wala hakuna mtu yeyote ndani ya ccm aliyelikemea hili , walishangilia na kupiga makofi mengi .

Sasa leo wanaCCM halali waliopigania chama chao kikamilifu wakati Bashiru akiwa UDSM, wakati wanaCCCM wanapambana kuinua chama wakishirikiana na Migiro na Kinana Bashiru hakuwepo wala wasaliti wake anaotaka kuwabeba hawakuwepo.

Nakuhakikishia Bashiru kwamba ukitaka kuimalizia CCM endelea kuwabeba wasaliti wako.

Itaendelea ...

Sijasoma. Ila swali wewe mkuu Ni CHadema au ACT. Sasa Inakuwaje Tena Una interest na mambo ya jirani. Jenga kwanza nyumbani na sio humu mitandaoni.

Hivi mtu wa mbali ataijuaje CHadema au Act. Kama nyie wadau hamuandiki juu yake. Mnafeli wapi. Mwenye akili anajua kabisa kama siku Mfano Ndege inaingia Tz. Then wewe unaandika kupinga jambo. It’s obvious that wewe ndo mwenye Shida. Pole sana. Kuna Ndege inaingia huko Tz embu nendeni.
 
Back
Top Bottom