Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #41
una siku chache sana kabla sijakuweka kwenye ignore list , hivi siku tukilipa kisasi mtamlilia nani nyinyi masikini ?Chadema ya Mashinji ina jukwaa?!......mnazidiwa hata na yule mzushi wa ujiji!
Kwa hili napinga, bashiru ameweka rekodi ya kununua wabunge Na madiwani Wa upinzani.tangu ccm ianzishwe hakukuwahi kutokea chama kununua viongozi Wa upinzani kama ccm hii ya sasa mkuu.hiyo hata wanaccm Wa kawaida wanasema huku mtaani.Pamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!
Mkuu ccm ya bashiru haikupaswa kuwa hii, upinzani haunyong'onyeshwi Na ccm Bali vyombo vya dola mkuu...acha ushabikiDr Bashiru anatumia zaidi sayansi ya siasa ndio maana Ufipa inafutika kwenye ramani ya siasa za Tanzania.
Mkuu, CCM wanakunyima usingizi sana eee, wewe tota lini umeijua CCM kiundani hivi? Bashiru umeanza kumfahamu lini? Pole sana, ila naona taratibu umeanza kuelewa somo
Ngao ya ccm Ni polis, nimemsikiliza mbunge Wa ubungo kuzuiwa mikutano yake Na polis inatia Huruma huku makonda Na wanaccm wenzake wanaachwa tu duh.Siku ccm ikiachwa Na vyombo vya dola kwenye siasa ipambane yenyewe ndo utakuwa mwisho wake...una siku chache sana kabla sijakuweka kwenye ignore list , hivi siku tukilipa kisasi mtamlilia nani nyinyi masikini ?
View attachment 1241067
Jana Katibu Mkuu wa CCM kaongea na vyombo vya habari akisisitiza misingi ya uchaguzi bora na wa haki ndani ya chama na kuamuru uchaguzi urudiwe katika maeneo ambayo kuna malalamiko mbali mbali.Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika kabisa.
Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo hasa kifo cha CCM kilipoasisisiwa, ukiua chama katika ngazi ya matawi ufahamu kwamba unaua chama chote hadi juu. Kwa mfano, Mtaa wa Keko Magurumbasi A kulikuwa na kiongozi wa CCM aliyeitwa Fundi , huyu aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha serikali za mitaa kwa mizengwe, akahamia CHADEMA.
Hakugombea chochote lakini alitumika kusambaratisha kabisa CCM Kata ya Keko, ambapo katika mitaa mitano CCM iliambulia mmoja tu tena kwa wizi. Nafahamu kwamba lengo la Bashiru Ally kuagiza marudio ya uchaguzi ni kujaribu kuondoa makovu yaliyosababishwa na uonevu lakini amesahau kwamba CCM Makao Makuu ndio chanzo cha uchafu wote huu wa kuondoa michakato halali ya kura za maoni na kukumbatia Wasaliti " walionunuliwa " ama kusaliti kwa hiyari.
CCM makao makuu imesimamia kikamilifu uvunjwaji wa katiba ya chama chao ya kupiga marufuku kura za maoni ili kuwapitisha tena Wasaliti ikiwa ni masharti ya mikataba ya ununuzi, ambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha " Astaghafillulah ! wala hakuna mtu yeyote ndani ya ccm aliyelikemea hili , walishangilia na kupiga makofi mengi .
Sasa leo wanaCCM halali waliopigania chama chao kikamilifu wakati Bashiru akiwa UDSM, wakati wanaCCCM wanapambana kuinua chama wakishirikiana na Migiro na Kinana Bashiru hakuwepo wala wasaliti wake anaotaka kuwabeba hawakuwepo.
Nakuhakikishia Bashiru kwamba ukitaka kuimalizia CCM endelea kuwabeba wasaliti wako.
Itaendelea ...
Pamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!
Umemaliza kiongozBado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika kabisa.
Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo hasa kifo cha CCM kilipoasisisiwa, ukiua chama katika ngazi ya matawi ufahamu kwamba unaua chama chote hadi juu. Kwa mfano, Mtaa wa Keko Magurumbasi A kulikuwa na kiongozi wa CCM aliyeitwa Fundi , huyu aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha serikali za mitaa kwa mizengwe, akahamia CHADEMA.
Hakugombea chochote lakini alitumika kusambaratisha kabisa CCM Kata ya Keko, ambapo katika mitaa mitano CCM iliambulia mmoja tu tena kwa wizi. Nafahamu kwamba lengo la Bashiru Ally kuagiza marudio ya uchaguzi ni kujaribu kuondoa makovu yaliyosababishwa na uonevu lakini amesahau kwamba CCM Makao Makuu ndio chanzo cha uchafu wote huu wa kuondoa michakato halali ya kura za maoni na kukumbatia Wasaliti " walionunuliwa " ama kusaliti kwa hiyari.
CCM makao makuu imesimamia kikamilifu uvunjwaji wa katiba ya chama chao ya kupiga marufuku kura za maoni ili kuwapitisha tena Wasaliti ikiwa ni masharti ya mikataba ya ununuzi, ambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha " Astaghafillulah ! wala hakuna mtu yeyote ndani ya ccm aliyelikemea hili , walishangilia na kupiga makofi mengi .
Sasa leo wanaCCM halali waliopigania chama chao kikamilifu wakati Bashiru akiwa UDSM, wakati wanaCCCM wanapambana kuinua chama wakishirikiana na Migiro na Kinana Bashiru hakuwepo wala wasaliti wake anaotaka kuwabeba hawakuwepo.
Nakuhakikishia Bashiru kwamba ukitaka kuimalizia CCM endelea kuwabeba wasaliti wako.
Itaendelea ...
ilikuwaje wasaliti wliipitishwa bila kura ya maoni ?Jana Katibu Mkuu wa CCM kaongea na vyombo vya habari akisisitiza misingi ya uchaguzi bora na wa haki ndani ya chama na kuamuru uchaguzi urudiwe katika maeneo ambayo kuna malalamiko mbali mbali.
Mi nadhani huyu ndiye Katibu anayejali malalamiko ya wanachama na wapiga kura na mpenda haki katika uchaguzi ndani ya chama.
Ili wapatikane wagombea sahihi watakaofaa kuingia katika mpambano na vyama vingine vya siasa.
Tabia ya kutosikiliza malalamiko ya wana chama hali hiyo imekuwa ikikigharimu sana chama miaka ya nyuma.
Hayo ni maelewano na makubaliano ya kawaida kabisa..ilikuwaje wasaliti wliipitishwa bila kura ya maoni ?
Jikite kwenye mada iliyo mezani .Hayo ni maelewano na makubaliano ya kawaida kabisa..
..kama ambavyo Mwaka 2015 wengine walivyokubaliana kumweka pembeni kipenzi chao na kumwachia Mgeni agombee Urais nafasi ambayo ndo ya juu Kuliko hata hizi za udiwani, Ubunge..
Pamoja na uchanga wake ameimega Chadema kwa kuchukua wabunge zaidi ya 10 na madiwani zaidi ya 100, amejiwekea historia ndani ya chama!
Hela za manunuzi wamelipwa Chadema kufidia ile;Kawachukua, au kawanunua? Kwako wewe huo ndio umeona uwezo, kweli namkumbuka Musiba" ukitaka kuwa mwana ccm lazima uwe mnafki wa kiwango Cha sgr.
Muulize Zitto kama Dr. Bashiru ni mchanga? Zitto alijichanganya akasema 1998 Dr alikua na akili ila sasa zimepungua, akaulizwa KWANI NILIKIA NA AKILI TANI NGAPI NA SASA ZIMEBAKI NGAPI akaona haya maji ya shingo hajarudi tena.unawezaje kumuogopa mwanasiasa mchanga kama huyu ?
bashiru ni mchanga mno !Muulize Zitto kama Dr. Bashiru ni mchanga? Zitto alijichanganya akasema 1998 Dr alikua na akili ila sasa zimepungua, akaulizwa KWANI NILIKIA NA AKILI TANI NGAPI NA SASA ZIMEBAKI NGAPI akaona haya maji ya shingo hajarudi tena.
Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika kabisa.
Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo hasa kifo cha CCM kilipoasisisiwa, ukiua chama katika ngazi ya matawi ufahamu kwamba unaua chama chote hadi juu. Kwa mfano, Mtaa wa Keko Magurumbasi A kulikuwa na kiongozi wa CCM aliyeitwa Fundi , huyu aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha serikali za mitaa kwa mizengwe, akahamia CHADEMA.
Hakugombea chochote lakini alitumika kusambaratisha kabisa CCM Kata ya Keko, ambapo katika mitaa mitano CCM iliambulia mmoja tu tena kwa wizi. Nafahamu kwamba lengo la Bashiru Ally kuagiza marudio ya uchaguzi ni kujaribu kuondoa makovu yaliyosababishwa na uonevu lakini amesahau kwamba CCM Makao Makuu ndio chanzo cha uchafu wote huu wa kuondoa michakato halali ya kura za maoni na kukumbatia Wasaliti " walionunuliwa " ama kusaliti kwa hiyari.
CCM makao makuu imesimamia kikamilifu uvunjwaji wa katiba ya chama chao ya kupiga marufuku kura za maoni ili kuwapitisha tena Wasaliti ikiwa ni masharti ya mikataba ya ununuzi, ambapo Mwenyekiti wao Mh Magufuli alichukua nafasi ya Yesu Kristo na kuonekana akiwaambia wahamiaji kwamba " Njooni kwangu msumbukao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha " Astaghafillulah ! wala hakuna mtu yeyote ndani ya ccm aliyelikemea hili , walishangilia na kupiga makofi mengi .