Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

Hivi kwani mishe mishe za uchaguzi mkuu tayari zimeanza?
 
Katibu mkuu wa CCM amesema kama Membe anasema kilichomfukuzisha CCM ni nia yake ya kugombea urais basi agombee kupitia chama kingine na wakutane kwa debe.

VIDEO: Dk Bashiru asema kama tatizo urais tukutane na Membe
Yaaah nadhani huo ndio USHAURI makini kwa Dr. Membe ili asiue NDOTO YAKE. There are so many AVENUES for him to pursue so as to accomplish HIS DREAM, kwa kweli kuna NINETEEN AVENUES zilizo wazi ambazo hata mimi namshauri azitumie hizo badala ya kusemasema ovyo! Ajue kuwa KINYWA KILIPOZA KICHWA, hili limo hata kwenye Maandiko Matakatifu yote ambayo yanatushauri na kutuasa sana tuchunge VINYWA VYETU, sisi wote ikiwa ni pamoja na Dr. Membe, a Senior Ex - Espionage and Intelligence Officer (kama anavyopenda atambulike).
 
Wewe msukule wa lumumba habari za membe zina uhusiano gani na CHADEMA, ukitaka kujua nini kemetokea nenda kamuulize katibu mkuu wako bashiru, au hata hilo linahitaji 'fikra za mwenyekiti'. Kiazi kweli wewe.
 
Hayo maneno angetakiwa kusema tukutane kwenye mkutano mkuu wa kuchagua mgombea wa ccm 2020, kwanini mmempora haki yake?
 
Wakati mwingine kunyamaza ni busara zaidi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Unajuaje Membe anaafikiana kisiasa na chama chochote kilichopo?

Well, anaweza kuanzisha chama chake anachoafikiana nacho mia kwa mia kama katika vilivyopo hakuna anachoafikiana nacho.

Siyo lazima awepo CCM. Na ni wazi haafikiani na CCM.

Aende kuokota chama chochote mradi agombee urais tu?

Hilo ni juu yake

Wamruhusu agombee kama mgombea binafsi, halafu waseme agombee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamruhusu tu. Sina pingamizi na mgombea binafsi.

Lakini pia, anaweza tu kuanzisha chama chake na yeye.

Mbona ma vyama yako mengi tu.
 
Well, anaweza kuanzisha chama chake anachoafikiana nacho mia kwa mia kama katika vilivyopo hakuna anachoafikiana nacho.

Siyo lazima awepo CCM. Na ni wazi haafikiani na CCM.

Hilo ni juu yake

Wamruhusu tu. Sina pingamizi na mgombea binafsi.

Lakini pia, anaweza tu kuanzisha chama chake na yeye.

Mbona ma vyama yako mengi tu.
Kuanzisha chama chake si kitu oractical kwa wakati uliobaki.

Kitu fair ni kuruhusu private candidates.

Haki ya kikatiba.

Kitu ambacho CCM hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzisha chama chake si kitu oractical kwa wakati uliobaki.

Kitu fair ni kuruhusu private candidates.

Haki ya kikatiba.

Kitu ambacho CCM hawataki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Private candidate kwa muda uliobaki ndo practical? Nah...sidhani.

Na sina pingamizi na private candidates.

Lakini pia Membe si lazima agombee mwaka huu.

Anaweza kuanzisha chama chake na akagombea 2025.
 
Ikiwa anatamani kweli kuwatumikia tena watanganyika, basi aweke sera nzuri, wananchi wako flexible as wind, wanaweza kutwist na mambo yakawa yananoga tu. Mfungwa hachagui gereza.
 
Back
Top Bottom