Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

Mbona nilisikia tetesi eti Bashiru ana pihechidii au ni uzushi tu jamani!!
 
Eti akgombee kupitia chama chochote daaaah! Halafu kura atahesabu Docta Bashiru, jamanii
 
LOOOO KIFO CHA MTU CHANUKIA
Hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mbona munaoneana hivyo?
 
Mimemuelewa sana DR. Bashiru,
Inaonekane Membe kijikaanga mwenyewe!! Hana wa kumlaumu isipokuwa kunywa chake mwenyewe kimemponza!! nabado anaendelea kufanya kosa lilelile kabla Halmashauri Kuu haijathibisha adhabu yake ya kufukuzwa uanachama.
Mh. Membe tulia, fuata utaratibu kutafuta haki yako.,, usiharibu zaidi ukakosa pa kushika.
 
Private candidate kwa muda uliobaki ndo practical? Nah...sidhani.

Na sina pingamizi na private candidates.

Lakini pia Membe si lazima agombee mwaka huu.

Anaweza kuanzisha chama chake na akagombea 2025.
Kwanini usiwe magufuli ndo agombee 2025?
 
Private candidate kwa muda uliobaki ndo practical? Nah...sidhani.

Na sina pingamizi na private candidates.

Lakini pia Membe si lazima agombee mwaka huu.

Anaweza kuanzisha chama chake na akagombea 2025.
Kwanini unamnyima haki yake ya kikatiba ya kugombea mwaka huu?
 
Kwanini membe asubiri kugombea 2025 na siyo magufuli ndo asubiri?

Hakuna aliyemzuia Membe kugombea mwaka huu.

Magufuli hana haja ya kusubiri hadi 2025 maana tayari yeye ndiye rais kwa sasa.

Marais wengi huwa wanagombea tena baada ya kumaliza mihula yao ya kwanza.
 
Yeyote anayekataa kuhalalisha haki za kikatiba mara moja, na yeyote anayesema kwamba sio lazima kugombea mwaka huu atagombea hata 2025.

Membe anaweza akagombea mwaka huu kama shida yake ni kugombea tu urais.

Hakuna aliyemkataza kabisa kuwa asigombee mwaka huu.

Na kusema siyo lazima agombee mwaka huu si kumkataza asigombee. Ni kusema ukweli tu.

Au ni lazima agombee mwaka huu?
 
Exactly!

Just as simple as that!
NOT THAT MUCH SIMPLE, AMEJENGA NGOME YAKE CCM, IWEJE AENDE KWINGINE..... AMEWEKEZA CCM, KWINGINE ATAPATA KURA ZA KUOKOTEZA KUMUINUA, HE BELIEVES IN HIGHER NUMBER OF VOTES FROM CCM.....WAPINZANI WAKIFANYIWA YA SERIKALI ZA MITAA? KUNA FACTORS NYINGI SANA IN THIS ERA, SHALLOW ANALYSIS OF ISSUES!
 
Hakuna aliyemzuia Membe kugombea mwaka huu.

Magufuli hana haja ya kusubiri hadi 2025 maana tayari yeye ndiye rais kwa sasa.

Marais wengi huwa wanagombea tena baada ya kumaliza mihula yao ya kwanza.
Sawa nimekuelewa ila nakazia Kama ambavyo magufuli hana haja ya kusubiri 2025 pia membe naye hana haja ya kusubiri 2025, bushiri alitakiwa kuacha mchakato wa kuchuja mgombea ndani ya chama, siyo kusema membe akagombee chama chochote make hata magufuli naye anaweza kwenda kugombea chama chochote!
 
Back
Top Bottom