dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Hiyo sheria imepitishwa na bunge lipi na lini?Member mnampigia debe bure, aibu ccm ilyopata kwa lowassa hawawezi kuruhusu ijirudie , ndiyo sababu wakatunga sheria huwezi kugombea urais kama huna miaka milwili kwenye chama hicho. Member hana miaka miwili hadi tarehe ya uchaguzi pale ACT siku ya uchaguzi. Sheria nyingine huwezi kugombea urais kama hujaishi miaka miwili mfululizo hapa nchini hadi siku ya uchaguzi. Hiyo sheria ni kumzuia Tundu Lissu . Leteni majina mengine ya wagombea yajadiliwe ,hao wawili sifa zimetungwa kuwazhuia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zimekaa Kama story Za vijiweni.
Sent using Jamii Forums mobile app