Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

Kwanini yeye bashiru hakuomba ukatibu mkuu wa chama chochote!! Amemkuta Membe Ccm Leo anamtakaje aende chama chochote wakati Ccm ndio nyumbani kwake. Chama kimetekwa na kanda duh!!
 
Problem is, many of these politicians change stances based upon expediency. Not principle.

It is rare to find a politician who’s been consistent throughout his political life.

Mkapa now is for an independent electoral commission. He didn’t see that during his presidency?

I’ve never heard Membe talk in favor of a new constitution, independent candidacy, or an independent electoral commission.

He could be now...but come on. Who would he be fooling?

That’s why I have a ton of respect for Bernie Sanders.

He’s been consistent ever since [going back 30, 40, 50 years ago].
 
vizu
Simzungumzii mtu, nazungumzia mfumo. Hili jambo ni zaidi ya Membe, ni mfumo mzima una makosa.
Exactly......Leo kiranga upo vizuri unazungumza Kizalendo sana ni wachache tunaokuelewa.....
 
Nyani Ngabu hebu Acha kujitoa ufahamu....najua wewe Kama binadamu wengine una utashi wako lakini si kwa kiwango hicho..... Mfumo uliharibiwa/ kukaliwa kinywa it's OK sasa tuuache hivyo hivyo..? eti ni kwa sababu ni zamu yetu.....? au Mbona nyinyi hamkurekebisha....? Come on Bro....!!!!
 
To switch on a personal level, something that I do not like to dwell on, if Membe was part of the team that blocked serious constitutional reforms which could have included provisions for private candidacy, as some allege, then this blockade serves him right in a karmic repercussions kind.
 
Ila umesahau mbeleko inayopewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe msukule wa lumumba habari za membe zina uhusiano gani na CHADEMA, ukitaka kujua nini kemetokea nenda kamuulize katibu mkuu wako bashiru, au hata hilo linahitaji 'fikra za mwenyekiti'. Kiazi kweli wewe.

Nyie ndio mlimpa kichwa eti kachero mbobezi sasa si mumpe nafasi, mbona mnaanza kumkimbia? Mara wamuache mgombea binafsi kwa hiyo hamtaki kura za washabiki wake? Mchukueni ili aendelee kuwanukia huko.
 
nguvu ya wapambe ikikuta nawe hujui kuchanganya na zako matokeo huwa kama hivi!
 
Hivi nikitaka kuandika comment kwa KijapanI nafanyaje /
 
Kabisa.

Si lazima agombee kupitia CCM.

Kwanza keshawahi kugombea kupitia CCM na akashindwa.

Aende TADEA akagombee huko kama kweli nia yake ni kugombea urais na si ajenda zingine.
WAWEKE TUME HURU YA UCHAGUZI KWANZA THEN WE GO FROM THERE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…