Dr. Bashiru: Mbinu na mikakati tuliyotumia kupata ushindi wa 99% kwenye Serikali za mitaa ndizo tutakazotumia uchaguzi mkuu 2020

Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge au urais kupitia Upinzani atakuwa ni halali ya CCM kwani KUSHINDWA ni demokrasia pia.

Dr Bashiru amesema hayo akiwa ziarani wilayani Korogwe mkoani Tanga

Source: Star Tv Habari

My take: Mnyika na Chadema watapata wakati mgumu sana mwaka huu. Chadema bila mbunge itaandikwa historia mpya.

Maendeleo hayana vyama!

Kauli ya Nape "tutafunga tu hata goli la mkono.
 
Tusipoenda tunajikomesha wenyewe. Hoja ni kwamba nenda chagua unaemutaka.
Unamchaguaje unaemtaka wakati wapinzani hawatapewa form kwa kuwa mbinu itakayotumika ni ile iliotumika kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa ya watendaji kufunga ofisi na kuwakimbia wapinzani kuchukua form?.
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge au urais kupitia Upinzani atakuwa ni halali ya CCM kwani KUSHINDWA ni demokrasia pia.

Dr Bashiru amesema hayo akiwa ziarani wilayani Korogwe mkoani Tanga

Source: Star Tv Habari

My take: Mnyika na Chadema watapata wakati mgumu sana mwaka huu. Chadema bila mbunge itaandikwa historia mpya.

Maendeleo hayana vyama!
Labda uzi huu ulete chachu ya vyama vya upinzani pamoja na jamii yote ya Tanzania kudai tume huru.
Bashiru anajaribu kutowa hint mwenye macho haambiwi tizama!
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge au urais kupitia Upinzani atakuwa ni halali ya CCM kwani KUSHINDWA ni demokrasia pia.

Dr Bashiru amesema hayo akiwa ziarani wilayani Korogwe mkoani Tanga

Source: Star Tv Habari

My take: Mnyika na Chadema watapata wakati mgumu sana mwaka huu. Chadema bila mbunge itaandikwa historia mpya.

Maendeleo hayana vyama!
Sina cha kusema zaidi ya kusema Dr . Bashiru (mwalimu wangu) Yu mpumbavu kama aliyepandisha uzi hawa wote ni wapumbavu wa kiwango cha SGR sawa na mwenyekiti wa SADC
 
Umeshapanic bwashee!
Nipaniki kwa vijimaneno toka kwenye kinywa na ulimi wa mpumbavu? nitakuwa mpumbavu mara 100 ya mwenyekiti wa SAD C Na wewe mpanisha uzi. mm sio mpumbavu siwezi kupaniki kwa upumbavu kama huu
nakuthibitishia mwenyekiti wa SADC ni mpumbavu (rejea kauli ile ya kipumbavu kuhusu watu kutekwa na kuuwawa aloitoa akiwa ungija juzi) bila Kwenda kwa dr.yyete ile kauli ilitolewa na mpumbavu kama wewe.
Posi, ndalichako na Kabudi wanajua ile Phd YA mwenyekiti ilipatikana vipii.
 
Kama ni kweli Dr jitafakari. Unaona watanzania ni wajinga sana hawajui kinachoendelea na mnaweza kuwapelekesha vyovyote vile mnavyotaka.
 
Back
Top Bottom