Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana! Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!
Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!
Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Hakuna mwanaccm mwenye guts za kumpinga Jiwe.......

Hakika safari hii tumepatikana kwa kumkabidhi madaraka ya juu kabisa mtu huyu asiyetaka kushauriwa, wala kukosolewa uongozi wake.......

Amejipa hadhi ya ki-mungu kuwa yuko perfect kwa 100% kwa kila atendalo, jambo ambalo anafanya kufuru kubwa sana kwa Mungu, ambaye ndiye anayeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini kuwa ndiye pekee yuko 100% perfect.

Damu itakapoanza kumwagika, ndipo tutakapowaona hao kina Dkt Bashiru, wapi watakimbilia kutafuta ukimbizi
 
Mystery,
hitler alitaka kutawala dunia kwa kutumia wajerumani. akakumbuka haiwezekani kwa kuwa kuna taifa linawazidi hao wajerumani wake kiakili. suluhisho akafikiri ni kuua wayahudi wote. akajitahidi akaua kiasi kikubwa alichoweza. warusi waliowahifadhi wayahudi wakatengeneza silaha ya kumg'oa hitler. wakampiga hadi uvunguni mwa kitanda chake. kakutwa amekauka na eva wake. ujerumani ikawa vipande viwili na berlin vipande vinne!

kama hitler akakumbuka kuitawala tanzania ni vigumu wapo wasomi vyuoni. hakuna profesa aliyebaki bila kutumbuliwa au kuitwa pumbavu. wizarani profesa katumbuliwa kwa kejeli kibao kuna mfanyakazi atainua sauti? thubutu! wakati waja kabudi pumbavu out kibajaji in na ndalichako out,bmsukuma waziri wa elimu ya juu. halima( kama atakuwepo bado anga hizo) akihoji haya ni kwa cv ipi? jiwe linanguruma: ngosha chapa kazi.
 
Bashiru alishakabidhi ubongo wake pale masijala Lumumba.
tapatalk_1542714542899.jpeg
 
Retired,
Unataka aseme nini? Umekosa la kushadidia acha aendelee na masuala ya chama chake na nyie endelea na siasa zenu za mitandaoni ambazo hazina impact kwa wananchi
 
Nani kakwambia hazina impact?
 
Hakuna mwana ccm MKWELI, HAKUNA kila unae ona yuko ccm ni kwa maslahi yake na familia yake, kila anaeisifia ccm analinda ulaji wake au anatafuta ulaji wake, hakuna mwkeli ndio maana hakuna anaetaka katiba mpya, huyu mwna CUF aliehamia ccm baada ya ukatibu ni wale wale tu.
 
Ukiwa mtu mcha Mungu kabisa kabisa na tu mwaminifu hii kazi ya ukatibu mkuu wa CCM ni ngumu mno.
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Huwezi kuwa mwanaccm kama si mnafiki , Bashiru hamna kitu .
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Labda atakuwa anasubiri Jafo awajibishwe kwanza.
 
Namshangaa sana huyu Dr. Amegeuka rasmi kuwa beberu mkubwa na ulaghai mkubwa. Miaka yote yupo hapa UDSM amefundisha na kuhubiri kuwa demokrasia inataka wenye mamlaka kuwaachia wananchi uhuru wa kuamua ni nani wa kuwaongoza. Lakini sasa anajigamba kwamba ameseti mitambo ya ushindi kwa chama chake kumbe ndio hivi! Amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi kufunya uhuni huu mchana kweupe! Dr. unatuaibisha sana!

Hivi kama mnajigamba kuwa mmefanya mambo mazuri, sasa hii hofu yenu ya kuingia kwenye uchaguzi inatoka wapi? Kwa nini CCM huwa inaogopa sana sanduku la kura?
 
Hivi kwa yale majuto ya mwandishi wa kitabu kilichozinduliwa jana kwa ukatili na unyama aliofuanya enzi za utawala wake, je, mzinduzi wa kitabu anajifunza nini?
 
Back
Top Bottom