Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Hivi kwa yale majuto kwa ukatili na unyama aliofanya huyu mwandishi wa kitabu kilichozinduliwa jana, je, mzinduzi wa kile kitabu anajifunza nini?
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Unategemea Bashiru azungumze nini? Wakati maelekezo take ndo yamefikisha suala hili hapa?
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Retired, mkuu unataka aseme nini maana yeye wagombea wake wamepitishwa na CCM si msimamizi wa uchaguzi
 
Ukisikia kutumia busara Ndiyo huku sasa, kama ilivyo kwa savings nyingine na kwa kuwa mshindi anajulikana, ni zaidi ya hekima mabilioni yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya uchaguzi yapangiwe kazi nyingine ya kimaendeleo ya Taifa.
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!

Bashiru amekuwa mnafiki wa kutupwa.

Anatakiwa aseme hadharani kuwa uchaguzi ujao ni KITUKO.
 
Hivi kwa yale majuto ya mwandishi wa kitabu kilichozinduliwa jana kwa ukatili na unyama aliofuanya enzi za utawala wake, je, mzinduzi wa kitabu anajifunza nini?
Mzinduzi haelewi ye anaona yupo Sawa kwa kila kitu
 
Hata huyu ni mchumia tumbo tu,
Umempa za USO vzr, katiba, sheria, zinasiginwa, ameuchuna tu! alikuwa wa kwanza kumsulubu Kinana, sasa HV kimya!
Hana guts hata za kutaja jina Lisu
Umeona eh! Kimya kabisa kama vile kila kitu ni shwari!
 
Hakuna mwanaccm mwenye guts za kumpinga Jiwe.......

Hakika safari hii tumepatikana kwa kumkabidhi madaraka ya juu kabisa mtu huyu asiyetaka kushauriwa, wala kukosolewa uongozi wake.......

Amejipa hadhi ya ki-mungu kuwa yuko perfect kwa 100% kwa kila atendalo, jambo ambalo anafanya kufuru kubwa sana kwa Mungu, ambaye ndiye anayeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini kuwa ndiye pekee yuko 100% perfect.

Damu itakapoanza kumwagika, ndipo tutakapowaona hao kina Dkt Bashiru, wapi watakimbilia kutafuta ukimbizi
Huyo ndiye Jiwe, hata waliokuwa wnazindia vitabu jana hakuna wa kumnongoneza kuwa mwenzetu huku tusiende, mradi wanakwenda chooni, basi yao yameisha!
 
Hivi kwa yale majuto ya mwandishi wa kitabu kilichozinduliwa jana kwa ukatili na unyama aliofuanya enzi za utawala wake, je, mzinduzi wa kitabu anajifunza nini?
Mpaka uwe na akili ndio ujifunze! wewe unamuonaje mzinduzi>
 
Ukiwa mtu mcha Mungu kabisa kabisa na tu mwaminifu hii kazi ya ukatibu mkuu wa CCM ni ngumu mno.
na ndiyo maana napingana na wakatoliki eti kumpa Utakatifu Nyerere. Why nasema hivyo? A government is an instrument of oppression, the state is an organ of class rule, an organ for the oppression of one class by another and Nyerere was a head of such an Instrument/organ. How come that he is contesting to be anointed a Saint? A great contradiction!
 
njinjo akemee maovu ndani ya jamii yetu hasa ndani ya serikali na CCM
 
Retired,
Unataka aseme nini? Umekosa la kushadidia acha aendelee na masuala ya chama chake na nyie endelea na siasa zenu za mitandaoni ambazo hazina impact kwa wananchi
akemee maovu ndani ya jamii yetu hasa ndani ya serikali na CCM
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Kwa upande mmoja tunaweza kumlaumu Bashiru Ally kwa kuwa yeye ndiye Mtendaji Mkuu wa CCM. Lakini kile kilichofanyika siyo akili ya Bashiru wala siyo mikakati yake. Huu mkakati uliofeli wa kuwatumia watendaji wa Mitaa na vitongoji kuhujumu upinzani ni la BASHITE tu.

Kama nakumbuka hivi hivi ndiyo alivyofanya mwaka 2017 wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni. Alimtumia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni kuwanyima barua za utambulusho Wasimamizi wa CHADEMA, hali iliyopelekea viongozi wa CDM kuandamana na Polisi kuwarushia risasi na hatimaye kumuua mwanafunzi Akwilina.

Bashiru Ally yuko katika kona mbaya kwa vile anafanya asiyoyaamini.
 
Mimi najivunia uwanachama wangu wa CCM, lakini katibu mkuu wangu na viongozi wote wa CCM wa sasa, wameniangusha na kuniabisha sana. Haswa huyu Bashiru amekuwa bure kabisa, mtu msomi unapakata mavi na hata harufu huisikii.
 
Back
Top Bottom