Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Dr. Bashiru mbona uko kimya kwa hili la uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

!
!
Thubutuuuu. Hajipendi? Yupo Huko Mafichoni. Atakuja Na Utetezi Huo Wa Kilichotokea Hadi Ushangae
 
Kwa upande mmoja yanaweza kumlaumu Bashiru Ally kwa kuwa yeye ndiye Mtendaji Mkuu wa CCM. Lakini kile kilichofanyika siyo akili ya Bashiru wala siyo mikakati yake. Huu mkakati uliofeli wa kuwatumia watendaji wa Mitaa na vitongoji kuhujumu upinzani ni la BASHITE tu.

Kama nakumbuka hivi hivi ndiyo alivyofanya mwaka 1997 wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni. Alimtumia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni kuwanyima barua za utambulusho Wasimamizi wa CHADEMA, hali iliyopelekea viongozi wa CDM kuandamana na Polisi kuwarushia risasi na hatimaye kumuua mwanafunzi Akwilina.

Bashiru Ally yuko katika kona mbaya kwa vile anafanya asiyoyaamini.
Kuna ukweli mkubwa ndani ya andiko lako! Shida kubwa ni kwenda chooni, ndiko kunakowasumbua CCM
 
Mimi najivunia uwanachama wangu wa CCM, lakini katibu mkuu wangu na viongozi wote wa CCM wa sasa, wameniangusha na kuniabisha sana. Haswa huyu Bashiru amekuwa bure kabisa, mtu msomi unapakata mavi na hata harufu huisikii.
Hivi Bashiru anakiamini anachokisimamia na kukitetea? Nauliza hivi kwa sababu mimi nimesoma saikolojia, ninapo mwangalia huwa naona kama vile kuna nafsi fulani ndani yake inamsuta na kupingana na kazi anayoifanya. kwa ushauri wangu, Bashiru aachane na hiyo kazi arudi kwenye kazi ya awali iliyompa heshima na taadhima kubwa sana! Sasa hivi watu wanamwangalia na kumshangaa tu. Wanamwona ni kama vile mtu aliyepotea njia na anatujua kuwa kapotea njia lakini anaendelea tu na safari bila kujua mwisho wake utakuwaje.
 
Hivi ni kweli kabisa kwa ninyi mnaomjua Bashiru, je, anakiamini anachosimamia na kukitetea ndani ya hicho cheo chake? Binafsi huwa namwangalia na kumshangaa tu maana nimjuavyo kuna nafsi fulani inamsuta sana! Mwishowe anaweza kuishia kupata maradhi nawaambia. mungu apishe mbali. Ni ngumu sana kwa mazingira ya uhuni na uzandiki kama haya kuwemo ndani yake mtu kama Bashiru, tena akiwa kiongozi.
 
Unajinadi kutetea haki, kusema kweli, CCM mpya na mapambio mengi tu kutoka kwenye kinywa chako na kwako kwa ujumla! Nimekusikiliza sana!

Leo mbona ume -mute kama vile nothing is going on on your side, as if all is clean!

Kweli unafiki, uzandiki and all sorts of filth ndio mwendo wa maisha ya kila mwana CCM!

Yale yale ya mfalme amevaa nguo nzuri, kumbe yuko uchi wa mnyama! Na Mfalme anajua fika kuwa yuko uchi lakini kwa vile wanafiki wanamsifia, anakubali kutembea uchi mbele ya kadamnasi!
Kila akitaka kusema mwili unataka kuachana na roho unajua yule kasomea siasa anawaona madhara au basi analilia wenzake kama alivyofanya Magufuli alivyo kuwa Waziri aliyakalia kimya mabaya ya mabosi zake leo ndo a natumia kama fimbo
 
Back
Top Bottom