Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
1. Mara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna.
2. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya kule Jalalani
2. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya kule Jalalani