Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 510
- 1,337
Usiwape siriHuyu hajapoa. Huyu ndiye atakayerejesha mamlaka ya Tanganyika kwa watanganyika mud wowote.. Sijui nimeandika nn mm?
Usiwape siriHuyu hajapoa. Huyu ndiye atakayerejesha mamlaka ya Tanganyika kwa watanganyika mud wowote.. Sijui nimeandika nn mm?
na maana gani kwa kusema ''kapoa'' Makamu wengi huwa wamepoa kwa sababu siyo viongozi wakuu. Hata unge-swap kipindi cha Magufuli na Samia, Magufuli awe makamu, ni lazima angepoa. Hivyo sio wanaangalia mtu aliyepoa ndiye achaguliwe, hasha, ila makamu huwa anatakiwa kupoa.Makamu lazima awe mtu ambae kapoa
1. Dr ali juma
2. Shein
3. Dr bilal a.k.a mzee wa mkasi
4. Sa💯
5. Dr Mpango
Kwa matumizi yapi?Utunzaji wa risiti unaendelea
Kila mtu ana interest zake. Huyu aliyetunza risiti hi, ana interest zakeKwa matumizi yapi?
Ni kweli sasa ni December!Ukisoma ramani za kiroho (hata za shekhe Yahaya) mama haonekani kwenye mamlaka kuanzia October mwaka huu.
Picha zake zinaishia July tu.
Hapawezi kuchangamka ikiwa panahusika na Muungano na Mazingira, kama vipi Tamisemi ipelekwwe ofisi ya makamu wa rais uone patakavyokucha.Makamu lazima awe mtu ambae kapoa
1. Dr ali juma
2. Shein
3. Dr bilal a.k.a mzee wa mkasi
4. Sa💯
5. Dr Mpango
Extremely rubbish!Rubbish.