Ukisoma ramani za kiroho (hata za shekhe Yahaya) mama haonekani kwenye mamlaka kuanzia October mwaka huu.Mmeanza kuroga sasa!
Mitano tena kwa mama!!
Picha zake zinaishia July tu.
Ukisoma ramani za kiroho (hata za shekhe Yahaya) mama haonekani kwenye mamlaka kuanzia October mwaka huu.Mmeanza kuroga sasa!
Mitano tena kwa mama!!
Hii hapa ya basheSubiri July ifike watavimba wengi sana. Gwajiboy katangulizwa kupima kina cha maji.
Kaah! Bashe ni mwanaume kweli kweli.Hii hapa ya basheView attachment 3367348
Hi
Alipiga kwenyewe hii screenshot huwa siipotezi.. vita vya 2030 balaa bashe na Nchimbi timu moja sijui itakuwaje dhidi ya jk timu January 🤣🤣Kaah! Bashe ni mwanaume kweli kweli.
Ila EL alichofanyiwa na wenzake sio poa kabisa, nakumbuka Rostam alidokeza kdg ktk msiba wake.Hii hapa ya basheView attachment 3367348
Hi
Jk snitch..Ila EL alichofanyiwa na wenzake sio poa kabisa, nakumbuka Rostam alidokeza kdg ktk msiba wake.
😭😭😭
Ukiukwaji wa katiba karibia utucostMara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya.
Why roastam hakumsaidia?Ila EL alichofanyiwa na wenzake sio poa kabisa, nakumbuka Rostam alidokeza kdg ktk msiba wake.
😭😭😭
Huenda hakua na power kwa wakati huo. LolWhy roastam hakumsaidia?
Rais wa TfF ?Na Dr. Mpango atakuwa Rais kwa neema ya Mungu.
Kamba styleHuenda hakua na power kwa wakati huo. Lol
😂😂😂😂Kamba style
Ila umekosea kwa mama usimpe check chake Dr samiaMakamu lazima awe mtu ambae kapoa
1. Dr ali juma
2. Shein
3. Dr bilal a.k.a mzee wa mkasi
4. Sa💯
5. Dr Mpango
Dr wa nini ?!Ila umekosea kwa mama usimpe check chake Dr samia
Kuna anaweza kumroga mzanzibari? Don't think soMmeanza kuroga sasa!
Mitano tena kwa mama!!
Alihitajika MTU calm, intelligent, visionary, patriotic,humble ambae atafanikisha next stage ambayo itaanza mwezi ujao!!
Sasa kama wangekosea kumuweka makam ambayo yangetokea mbeleni angeshika asietakiwa!!
Nawaza kwa mujibu wa Duru na ramli za jamvini!!
SureNchimbi nae kapoa si unaona trend inavyoenda
Utunzaji wa risiti unaendeleaHii hapa ya basheView attachment 3367348
Hi